Kama mashabiki wa utopolo wangekuwa na akili,kuna vyombo vya habari vingekufa

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Nimegundua kuna vyombo vya habari uwepo wake unatokana na kuwepo watu wengi vilaza hususan wa club ya kinye fc.

Kutokana na sababu hiyo,wamekuwa wakitangaza habari nyingi za uzushi kuhusu Simba ili wawavutie wajinga waliwao.

Walimsifu sana Nabi kipindi kile na kumuita Profesa kisa tu Da Rosa alizuiliwa kuongoza timu kwa kuwa hana leseni. Hayo yametokea kwa Nabi hutasikia wanaandika chochote.

Badala yake walitumia muda mwingi kuandika upuuzi na uzushi juu ya Kocha wa Simba ambaye ana sifa na wanajua amewahi kuiongoza timu ya Taifa.

Wachambuzi wengi wa redio na TV wamerubuniwa kwa rushwa na GSM.
Wengine ni uswahiba na hadi watu wanafikiria huenda wanatumika kinyume na maadili ya utu na kiafrika.Wapo hao wanaojiita majina ya kibrazil tunaona wameshaarika sana.

Hivi sasa waamuzi hawafanyi makosa hadi pale Simba itakapoimarika
Yale mambo ya konagoli tunayaona ila yanafumbiwa macho.

Leo hutasikia vilaza wa hivi vyombo wakisema chochote kuhusu Nabi kutoruhusiwa kuongoza benchi la utopolo.Kwani rushwa hupofusha macho.
 
Ukute na wewe unategemewa kama baba, kaka, mchumba au vyovyote vile asee nawaonea huruma sana hao wanaokuamini maana kwa andiko lako hili inatosha kusema wewe ni Mpumbavu usiyejielewa yaani hisia zako ndo iwe generalization ya hii petty issue ya mambo ya mpira?

Kwenye mpira kila mtu ana hisia yake kuna wachambuzi wanaongea hivi na vile mwisho wa siku there is no conclusion maisha yanaendelea,sasa wewe una elimu gani ya mpira ndo umeitumia kutuletea solution ya huu mtazamo wako.
 
Kuna upumbavu mwingi sana kwenye vyombo vya habari as if waajiriwa wake wengi ni kama wadangaji tu.

Wanaandika na kutangaza in favor ya wanaowapa pesa na si kwa interest ya ukweli.
Nadhani na wewe ni mojawapo wa makanjanja hayo
 
Njaa, kujikomba na tamaa vimeondoa weledi na ubunifu kwenye tasnia ya habari......siku hizi waandishi wa habari wamekuwa "MACHAWA"

Wamekuwa kama machangudoa tu wanaotumiwa na watu wenye fedha......
 
Wachambuzi wengi wa redio na TV wamerubuniwa kwa rushwa na GSM.
Wengine ni uswahiba na hadi watu wanafikiria huenda wanatumika kinyume na maadili ya utu na kiafrika.Wapo hao wanaojiita majina ya kibrazil tunaona wameshaarika sana.
 
Wachambuzi wengi wa redio na TV wamerubuniwa kwa rushwa na GSM.
Wengine ni uswahiba na hadi watu wanafikiria huenda wanatumika kinyume na maadili ya utu na kiafrika.Wapo hao wanaojiita majina ya kibrazil tunaona wameshaarika sana.
Mbumbumbu mnayo hali mbaya sana, sasa hivi kila mtu atakuwa adui yenu badala ya kulaumu uongozi wenu uliofanya usajili wa magumashi na kuungaunga mnaanza kuwa wapiga ramli, kubalini timu yenu ni mbovu kwa sasa haieleweki inataka nini kiufupi haina mipango itazidi kuwapa stress na mtawashika uchawi raia wote wa nchi hii kuwa awawapendi
 
Uongozi ndio ulizusha kuwa Mgunda hana Vyeti?
 
"NGE" huwa haina mantiki ktk kuelezea uhalisia wa hoja yoyote ile.

We mwenyewe ungekuwa ni viumbe vya baharini usingetofautiana na PENGUIN.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Naona mbumbumbu katika kiwango Cha juu kabisa Cha umbumbumbu.
 
Wapuuzi wenyewe hawa hapa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Vita dhidi ya simba ni kubwa sana na anayesababisha yote haya ni yule nguruwe pori wa yanga jamaa mnafiki sana yule.
Mimi mabooomu
Mimi mabooomu

Toka nchi hii inapata Uhuru
Mimi ndio binadamu wa kwanza kupigwa Faini kubwa kuliko mtu yoyote
Ina maana mimi ndio niliekosea zaidi kuliko watanzania wooooote kwenye mpira
Tufanye ndio nimekua hivyo
Yaan mimi ndio kubwa la maadui Amrish Puri

Haji Manara's Voice

πŸ˜‚
 
Wachambuzi wengi wa redio na TV wamerubuniwa kwa rushwa na GSM.
Wengine ni uswahiba na hadi watu wanafikiria huenda wanatumika kinyume na maadili ya utu na kiafrika.Wapo hao wanaojiita majina ya kibrazil tunaona wameshaarika sana.
Privadinyo et al
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…