Nimegundua kuna vyombo vya habari uwepo wake unatokana na kuwepo watu wengi vilaza hususan wa club ya kinye fc.
Kutokana na sababu hiyo,wamekuwa wakitangaza habari nyingi za uzushi kuhusu Simba ili wawavutie wajinga waliwao.
Walimsifu sana Nabi kipindi kile na kumuita Profesa kisa tu Da Rosa alizuiliwa kuongoza timu kwa kuwa hana leseni. Hayo yametokea kwa Nabi hutasikia wanaandika chochote.
Badala yake walitumia muda mwingi kuandika upuuzi na uzushi juu ya Kocha wa Simba ambaye ana sifa na wanajua amewahi kuiongoza timu ya Taifa.
Wachambuzi wengi wa redio na TV wamerubuniwa kwa rushwa na GSM.
Wengine ni uswahiba na hadi watu wanafikiria huenda wanatumika kinyume na maadili ya utu na kiafrika.Wapo hao wanaojiita majina ya kibrazil tunaona wameshaarika sana.
Hivi sasa waamuzi hawafanyi makosa hadi pale Simba itakapoimarika
Yale mambo ya konagoli tunayaona ila yanafumbiwa macho.
Leo hutasikia vilaza wa hivi vyombo wakisema chochote kuhusu Nabi kutoruhusiwa kuongoza benchi la utopolo.Kwani rushwa hupofusha macho.