Kama mashabiki wa Yanga na Simba si mazuzu basi waache kuzishabikia

Kama mashabiki wa Yanga na Simba si mazuzu basi waache kuzishabikia

nicholasmari

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
630
Reaction score
583
Mashabiki wa hizi timu 2 kwa madhila na dharau walizofanyiwa km wana akili kweli basi waache kuzishabikia kuna timu nyingi ligi kuu tuanzie na zile zilizo kwenye mikoa yetu wakipigwa na njaa watashika adabu.

Ukishaona timu wanaCCM wamo humo kuanzia mwenyekiti wao hapo hakuna raha ni kutumiwa km mazuzu. Simba au Yanga si mamako achana nazo
 

Watu walijua kitambo hakuna game, japo anachanganya na sababu za FA kupotezea taarifa yake aliyoitoa
 
Yaani niache kuishabikia Yanga kwa sababu tu simba wameogopa kichapo, na hivyo kugoma kupeleka timu uwanjani!
 
Back
Top Bottom