pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Mbowe analaumu Lissu kugombea Uenyekiti huku akilalamikia kumsaidia Lissu wakati tukijua yeye ni alimsaidia Lissu ili kufanikisha biashara zake za kisiasa.
Sasa kama walikubaliana abaki na umakamu wake kwanini alimsakazia wenje washindane nae?
Pia soma
- Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma