pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Robert Green...#1 Law of Power: Never Outshine the Master
Tumepatana alafu unageuka alafu unalaumu.Kwani kugombea nafasi yoyote katika chama Cha chadema ni dhambi?
Napiga pic baada ya uchaguzi itakuwaje? Make si kwa kucharuana humor.Mbowe analaumu Lissu kugombea Uenyekiti huku akilalamikia kumsaidia Lissu wakati tukijua yeye ni alimsaidia Lissu ili kufanikisha biashara zake za kisiasa.
Sasa kama walikubaliana abaki na umakamu wake kwanini alimsakazia wenje washindane nae?
Pia soma
- Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma
HojaMbowe analaumu Lissu kugombea Uenyekiti huku akilalamikia kumsaidia Lissu wakati tukijua yeye ni alimsaidia Lissu ili kufanikisha biashara zake za kisiasa.
Sasa kama walikubaliana abaki na umakamu wake kwanini alimsakazia wenje washindane nae?
Pia soma
- Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma
It is a projectMbowe analaumu Lissu kugombea Uenyekiti huku akilalamikia kumsaidia Lissu wakati tukijua yeye ni alimsaidia Lissu ili kufanikisha biashara zake za kisiasa.