Kama Mbowe atashinda uenyekiti, nitaacha rasmi siku hiyo hiyo ku-support CHADEMA

Kama Mbowe atashinda uenyekiti, nitaacha rasmi siku hiyo hiyo ku-support CHADEMA

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
2,887
Reaction score
5,687
Habari ndio hiyo toka kwa mie Kagoshima. Tusichoshane. Japo nimewahi kuwa na kadi ya ccm chuoni kama fashion, Sijawahi kuunga mkono chama kingine zaidi ya chadema.. mwisho wangu itakua siku huyu kinga'nganizi wa Madaraka atakaposhinda uenyekiti. Naacha rasmi
 
Haito kusaidia chochote/ huu ni upepo tuu na utapitaa Kama pepo zingine zilizo/ zinazo leta wimbi/mawimbi kwenye bahari zakeee..
 
Kama Mwenyekiti mstaafu -Mbowe atakuwemo kwenye kamati kuu milele na milele hadi kifo, ya nini sasa kuendelea kungangania huo uenyekiti? Hili swali linaninyima sana usingizi... au labda kuna kingine cha ziada kipo nyuma ya pazia? Nifafanulieni bandugu...
 
Mbowe anatosha acheni mihemko nyie watoto

Kuwa Kama Habakuki
 
Kweli demokrasia ni ngumu. Kwamba lazima ashinde unaemtaka tu!! Kikubwa ni haki itendeke ili anaeshinda ashinde kihalali.
 
Habari ndio hiyo toka kwa mie Kagoshima. Tusichoshane. Japo nimewahi kuwa na kadi ya ccm chuoni kama fashion, Sijawahi kuunga mkono chama kingine zaidi ya chadema.. mwisho wangu itakua siku huyu kinga'nganizi wa Madaraka atakaposhinda uenyekiti. Naacha rasmi
Hutakuwa pekee yako, ni maelfu watafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom