Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam
Zote tunajua kwamba bwana mchengerwa ni mkwe wa mama Samia kwa maana kamuoa mtoto wa rais. Na nakumbuka mwaka jana bwana mchengerwa alikula kiapo mbele ya rais Samia na kujiapiza kwamba uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka 2024 hakuna mtaa hata mmoja utaenda upinzani.
Hakika siku hazigandi na mwaka wa uchaguzi ndo umefika na yule bwana mchengerwa ndo msimamizi mkuu wa uchaguzi huo na ndio anakwwnda kutimiza ile ahadi aliomuahadi mkwe wake na hakika atatimiza.
Nitawashangaa sana vyama vya upinzani hasa chadema kama watashiriki uchaguzi huu maana hautakua uchaguzi bali utakua ni uchafuzi. Nawaasa chadema kama wataamua kushiriki uchaguzi huo chini ya tume ya uchaguzi ya ccm basi baada ya matokeo kutoka kamwe wasijelalamika wamechezewa rafu watakua wapuuzi kuliko wapuuzi wote Dunia.
Over