Kama Mchungaji anaweza kutudanganya wazi wazi anashindwa nini kutuibia sadaka?

Kama Mchungaji anaweza kutudanganya wazi wazi anashindwa nini kutuibia sadaka?

Mkuu Prakatatumba abaabaabaa upo sahihi.

HAWASHINDWI KUTUIBIA SADAKA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Sadaka unaibiwa vipi ilhali unatoa mwenyewe? Kwani anakuvizia haupo ndio anaichukua kutoka kwako?

By the way kabisa ni la kwake, ili asiwe amekuibia inatakiwa ukishampa hiyo sadaka aifanyie nini hasa ndio utaona huibiwi?
 
Back
Top Bottom