S Shakir JF-Expert Member Joined Jul 31, 2012 Posts 1,627 Reaction score 1,926 Jan 21, 2024 #21 Mjanja M1 said: Mkuu Prakatatumba abaabaabaa upo sahihi. HAWASHINDWI KUTUIBIA SADAKA. KaziKweliKweli/JobTrueTrue Click to expand... Sadaka unaibiwa vipi ilhali unatoa mwenyewe? Kwani anakuvizia haupo ndio anaichukua kutoka kwako? By the way kabisa ni la kwake, ili asiwe amekuibia inatakiwa ukishampa hiyo sadaka aifanyie nini hasa ndio utaona huibiwi?
Mjanja M1 said: Mkuu Prakatatumba abaabaabaa upo sahihi. HAWASHINDWI KUTUIBIA SADAKA. KaziKweliKweli/JobTrueTrue Click to expand... Sadaka unaibiwa vipi ilhali unatoa mwenyewe? Kwani anakuvizia haupo ndio anaichukua kutoka kwako? By the way kabisa ni la kwake, ili asiwe amekuibia inatakiwa ukishampa hiyo sadaka aifanyie nini hasa ndio utaona huibiwi?