Kama mdau wa maendeleo naiomba Serikali iweke akaunti maalum, tuichangie

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117
Habari zenu?

Kulingana na serikali kuonyesha ina nia nzuri na kufanya maendeleo bila kutegemea misaada kwa 100% naiomba ishusje tozo kwa wananchi kwani ni mzigo.

badala yake iweke akaunti maalum wananchi wapenda maendeleo tuchangie kwa hiyari,

watengeneze hata control namba maalumu tuwaunge mkono.

Naona kuna kila dalili kapu la serikal limefilisika
 
sichangii hata 10 na miamala sifanyi tena labda niwe sina uwezo wa kumfikia mdeni wangu. wawatumie hao polisi wao kutulazimisha kutumia miamala maana nchi hii kila ukipinga jambo unaletewa polisi.
 
Wakisema tuchangie na kodi wafute kabisa.
 
Hakuna Sehemu inafedha kama huko Baharini maelfu ya matani ya Samaki yanavuliwa mbona fedha lukuki haionekani?
 
Mimi naiomba isisalimu amri kwenye makato ya miamala ,Nchi imefika hapa kuna watu waliumia
 
Nitaunga mkono
 
Huwa hulipi kodi yo yoye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…