Kama mechi ijayo Cameroon na Australia wakashinda mechi zao,itakuwaje hapo..??

Kama mechi ijayo Cameroon na Australia wakashinda mechi zao,itakuwaje hapo..??

mackie

Senior Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
141
Reaction score
197
tunajua kuwa Ugeruman na chile wanaongoza kundi kwa kuwa na point 4 kila mmoja bada ya kutoka sale mechi ya jana na hapo hapo Austria na cameroo wakiwa na point 1 kila mmoja bada ya kutoa sale jana....


03dd42222926e3dbd9b949704a94cfa9.jpg
d752b492181fd95c25caace81f5ffebe.jpg


swali langu najiuliza ikiwa kila mmoja kabakiza mechi moja moja kumaliza mzunguko wa kundi zima na ikitokea mechi ijayo cameroon akamfunga ugerumani na Austria akamfunga chile manake Kundi lote watakiwa na point 4 ......enheeeeee....


naomba kujua njia gani zitatumika hapo kupata timu mbili za kusonga mbele....


wajuzi wa mambo tafadhali.....
 
Back
Top Bottom