Kama mfumo umejaa rushwa namna pekee ya kusaidia nchi ni mapinduzi

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,812
Reaction score
2,360
Kwa kweli kichwa Cha habari inajieleza.
Kama mfumo mzima kutoka juu mpaka chini umejaa rushwa yaani kutoka top to the bottom. Namna pekee iliyobaki ni mapinduzi tu Kwa sababu hakuna sehemu unashika nafuuu.

Kwa nini nasema hivo? Ni Kwa kuwa hakuna wa kumwajibisha mwingine na kama ukiwa msafu ukiingia lazima ufuate mfumo huwezi ukawa msafi kama mfumo umeharibika. Kama hutafuata wanyotaka lazima utaondolewa.

Mfumo msafi uwe unawajibisha watu wanaokiuka maadili ya mfumo. Kama wezi wa Mali ya umma hawawajibishwi huo mfumo umeoza kabisa.

Hayo ni maoni yangu karibuni
 
ok. :1Head:
 
Mapinduzi atafanya nani ndugu yangu,
Ikiwa mtu kama Mafwele tunambiwa ana ukwasi wa kuitunza familia yake Afrika Kusini sasa hawa kina Mkunda na makamanda wa kiUnguja walojaa jeshini wakoje hata watamani mapinduzi?
Our only hope ni Lower rank Tanganyikans from Captains downwards like Burkina Faso.
 
GenZ ajira mpya kama vile wanachanganyikiwa na mifumo ya kuishi vibaruani wanatamani wakimbie ila wakikumbuka life la mtaa wanashikilia hawana namna.
 
Back
Top Bottom