Habari wadau.
Nipo jirani na shule ya msingi MIBURANI ambayo ipo wilaya ya temeke, naona watoto wanachangishwa sana michango ya mlinzi, umeme, maji na siku ingine ya walimu ya kujitolea.
Kila mchango unalipiwa sio chini ya 2000, imagine mkondo mmoja tu wa darasa moja lina wanafunzi 80, na hapo unakuta darasa moja lina mikondo minne, jumla wanafunzi 320, hao wote kila mmoja akitoa 2000 inakusanywa hela nyingi sana, imagine tena darasa la kwanza mpaka la saba mikondo yote inachangishwa hela ya mlinzi tu kila mwezi utaona ni kiasi gani kinakusanywa,
Jiulize sasa je huyo mlinzi ama hao walinzi wa shule wanalipwa mshahara bei gani katika hayo mamilioni yote yanayochangishwa?
Njoo tena kwenye mchango wa umeme tena hivyo hivyo, maji hivyo hivyo, mchango wa mwalimu wa kujitolea tena hivyo hivyo
Je kwa nini serikali inakaa kimya, kama hii michango ni muhimu kwa nini hii michango hawataki ilipwe kwa control namba na tupewe risiti za EFD?