Kama michoro ya watoto ingekuwa kweli😄😄😂

Uzuri wa watoto hawaogopi kukosea, wanajiamini katika majibu yao hata kama wamekosea.
Utamuulia moja jumla moja ni ngapi atakutajia 5 na wala hashtuki
Maisha yao ni mazuri sana wala hakuna stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…