Kama mikosanyiko ni haramu, mbona viongozi wa CCM hawakamatwi?

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
3,474
Reaction score
3,744
Wasalaam.

Nawakumbusha jeshi la policcm kuwa kama mikutano ya vyama vya siasa ni haramu ni vema sasa na ccm wasikusanyike. Inashangaza jeshi la police kufanya kazi bila weledi kwa kukamata ovyo watanzania wenzenu na kuwabambika kesi, haya ni mambo ya kijinga ipo cku mtaleta machafuko nchi hii.
 
Wanachukua tahadhari na wanafata sheria
 
Shaka yuko busy tu anakusanya watu hawana hata barakoa yaani tuna rais mjinga aijapata kutokea.
 
Wasalaam.

Nawakumbusha jeshi la policcm kuwa kama mikutano ya vyama vya siasa ni haramu ni vema sasa na ccm wasikusanyike. Inashangaza jeshi la police kufanya kazi bila weledi kwa kukamata ovyo watanzania wenzenu na kuwabambika kesi, haya ni mambo ya kijinga ipo cku mtaleta machafuko nchi hii.
Tatizo la wapinzani wa nchi hii mnashindwa kuelewa kuwa CCM ni chama kilichopewa dhamana na wananchi ya kuunda serikali na kuongoza nchi kwa muda wa miaka 5. Kinao wajibu wa kwenda kwa wananchi kujiridhisha kuhusu utekelezaji wa ilani ya chama na kusikiliza kero za wananchi.

Kwa sababu CCM ndo imeunda serikali haina tofauti na hao viongozi wa serikali katika kusimamia utekelezaji wa ilani ya chama.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Kama umeenda shule wew haijakusaidia
 
Shaka yuko busy tu anakusanya watu hawana hata barakoa yaani tuna rais mjinga aijapata kutokea.
Usiwe njinga barakoa ni kuwafurahisha watawala wetu wazungu usiwe na kichwa kigumu, tunashea no ugonjwa ndiyo maana ulaya leo kunawatu 600,000 wamekufa na korona huku Afrika nzima watu 40,000 wamekufa kati ya nchi 52 ambapo bara kubwa kuliko yote ni Afrika. Amishia siasa kwingine.
 
Nani wa kuleta machafuko kwa mfano?,Lisu alikimbilia ubalozini kuhofia maisha yake,Lema alikimbilia Kenya alipopakimbia Dr.Miguna,Sugu kapewa sifa ya uwekezaji mkoa wa Mbeya.hao ndo mnawaita mashujaa wa Nyumbu wa Ufipa.
 
Tatizo la wapinzani wa nchi hii mnashindwa kuelewa kuwa CCM ni chama kilichopewa dhamana na wananchi ya kuunda serikali na kuongoza nchi kwa muda wa miaka 5. Kinao wajibu wa kwenda kwa wananchi kujiridhisha kuhusu utekelezaji wa ilani ya chama na kusikiliza kero za wananchi.

Kwa sababu CCM ndo imeunda serikali haina tofauti na hao viongozi wa serikali katika kusimamia utekelezaji wa ilani ya chama.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Sema kilichojipa dhamana,tena uache kuletadharau.Aliwapa nani?
 
Tatizo la wapinzani wa nchi hii mnashindwa kuelewa kuwa CCM ni chama kilichopewa dhamana na wananchi ya kuunda serikali na kuongoza nchi kwa muda wa miaka 5. Kinao wajibu wa kwenda kwa wananchi kujiridhisha kuhusu utekelezaji wa ilani ya chama na kusikiliza kero za wananchi.

Kwa sababu CCM ndo imeunda serikali haina tofauti na hao viongozi wa serikali katika kusimamia utekelezaji wa ilani ya chama.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Tumia Akili hata za Mke kama ingekuwa hivyo usemavyo hata Katiba ingesema hivyo lakini Katiba haisemi hivyo ndio nyie iliyotolewa Ubongo
20210716_160047.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom