Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Ndivyo unavyo jidanganyaUsimuige tembo kunywa maji
USSR
kweli watanzania ni wanyonge mahamumaHao ni maharamia wanaojiita wazalendo waliojimilikisha taifa.
Anayefuata sheria nani, nyie matapeli, maharamia mnaojiita wazalendo.Wanachukua tahadhari na wanafata sheria
Tatizo la wapinzani wa nchi hii mnashindwa kuelewa kuwa CCM ni chama kilichopewa dhamana na wananchi ya kuunda serikali na kuongoza nchi kwa muda wa miaka 5. Kinao wajibu wa kwenda kwa wananchi kujiridhisha kuhusu utekelezaji wa ilani ya chama na kusikiliza kero za wananchi.Wasalaam.
Nawakumbusha jeshi la policcm kuwa kama mikutano ya vyama vya siasa ni haramu ni vema sasa na ccm wasikusanyike. Inashangaza jeshi la police kufanya kazi bila weledi kwa kukamata ovyo watanzania wenzenu na kuwabambika kesi, haya ni mambo ya kijinga ipo cku mtaleta machafuko nchi hii.
Kama umeenda shule wew haijakusaidiaTatizo la wapinzani wa nchi hii mnashindwa kuelewa kuwa CCM ni chama kilichopewa dhamana na wananchi ya kuunda serikali na kuongoza nchi kwa muda wa miaka 5. Kinao wajibu wa kwenda kwa wananchi kujiridhisha kuhusu utekelezaji wa ilani ya chama na kusikiliza kero za wananchi.
Kwa sababu CCM ndo imeunda serikali haina tofauti na hao viongozi wa serikali katika kusimamia utekelezaji wa ilani ya chama.
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Wewe jibu hoja usilete taarabu za Ufipa hapa.Kama umeenda shule wew haijakusaidia
Usiwe njinga barakoa ni kuwafurahisha watawala wetu wazungu usiwe na kichwa kigumu, tunashea no ugonjwa ndiyo maana ulaya leo kunawatu 600,000 wamekufa na korona huku Afrika nzima watu 40,000 wamekufa kati ya nchi 52 ambapo bara kubwa kuliko yote ni Afrika. Amishia siasa kwingine.Shaka yuko busy tu anakusanya watu hawana hata barakoa yaani tuna rais mjinga aijapata kutokea.
Hakuna hoja ya kujibu hapo kwahio Kama ni korona kwakua mi chama tawala wakikusanyika Corona hawaugui?
Sema kilichojipa dhamana,tena uache kuletadharau.Aliwapa nani?Tatizo la wapinzani wa nchi hii mnashindwa kuelewa kuwa CCM ni chama kilichopewa dhamana na wananchi ya kuunda serikali na kuongoza nchi kwa muda wa miaka 5. Kinao wajibu wa kwenda kwa wananchi kujiridhisha kuhusu utekelezaji wa ilani ya chama na kusikiliza kero za wananchi.
Kwa sababu CCM ndo imeunda serikali haina tofauti na hao viongozi wa serikali katika kusimamia utekelezaji wa ilani ya chama.
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Tumia Akili hata za Mke kama ingekuwa hivyo usemavyo hata Katiba ingesema hivyo lakini Katiba haisemi hivyo ndio nyie iliyotolewa UbongoTatizo la wapinzani wa nchi hii mnashindwa kuelewa kuwa CCM ni chama kilichopewa dhamana na wananchi ya kuunda serikali na kuongoza nchi kwa muda wa miaka 5. Kinao wajibu wa kwenda kwa wananchi kujiridhisha kuhusu utekelezaji wa ilani ya chama na kusikiliza kero za wananchi.
Kwa sababu CCM ndo imeunda serikali haina tofauti na hao viongozi wa serikali katika kusimamia utekelezaji wa ilani ya chama.
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app