Kama mkataba mmoja tu ndio uko hivi, je ile mingine ina hali gani?

Akilindogosana

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
4,303
Reaction score
12,679
Najiuliza tu, kama mkataba mmoja tu ndio uko hivi, je ile mingine ina hali gani?

Nawapongeza "wazee wa kuvujisha"
Ninyi mmefanya kazi kubwa sana, tumejua hali halisi 😂.

Nawaomba sana "wazee wa kuvujisha" zoezi hili liwe endelevu, maana mikataba ilisainiwa mingi sana. Tunawaomba msikate tamaa wala msivunjike moyo, endeleeni kuvujisha mikataba mingine yote tuone walichosaini.

NB: msisahau kuonesha na ukurasa wa sahihi za viongozi.

"Wazee wa kuvujisha" mpewe maua yenu.
 
Yaani tunawaomba sana wawe waaminifu kwa watanzania Maana huo ndo uzalendo mkubwa
Tunawaaminia wazee wa kuvujisha, wasikate tamaa, tunawaomba wazee wa kuvujisha mikataba, hili zoezi liwe endelevu. Mikataba yote ivuje tu 😂
 
Yale matrilioni aliyesema CAG mbona wavujishaji walikaa kimya?

Au ni wanufaikaji wa huo wizi?
 
Kaka ikiwa unaokoa nyumba inayowaka moto huwezi beba vitu vyote kwawakati mmoja,nahata kama umechelewa huwezi ndouache vyote viteketee?
Upo sahihi mkuu, sisi inabidi ifike wakati tuwaunge mkono na kuwatia nguvu wazee wa kuvujisha ili tuendelee kuujua ukweli na kutuokoa na kujua mikataba mingine tena ya hovyo waliosaini. Tunawaaminia wazee wa kuvujisha, wasikate tamaa.
 
Haya maswali ni magumu sana. Bila ya wazee wa kuvujisha tusingejua yote haya. Mungu awasaidie wazee wa kuvujisha ili waendelee kuvujisha mikataba mingine tena, yaani wavujishe mikataba yote ya hovyo.


Wazee wa kuvujisha tunawaamini na hamtotuangusha.
 
Wazee wa kuvujisha tunawasubiria mvujishe pdf lingine la mkataba wa hovyo 🤣
 
ngoja tudukue mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…