Ankal mambo?
Nakwambia wanaikolojia wa sasa wanasema jeneresheni ya nyani wa kisasa wamepoteza ujanja wa asili kwa kiasi kikubwa!
Mf. Nyani wa Udzungwa imethibitika wana aibu!
Shangaa!
Hivi unajua uchi uchi kabisa inatisha!!
Yani inama/inuka mtupu, hapana
Kama ni kyupi na bra au nguo nyepesi bila kubanwa hapo sawa na nipo tayari hakuna shida,kina baba nao kuzunguka ndani watupu..ahahahahahahahah uwii hapana aisee,kaptula au boxer kifua wazi no problem
BTW: Judgement, hii spesho kwa wanandoa tu au hata kwa wachumbia ndoa?
Hayahaya Mamndenyi!Mmoja akasema 'ke' bila nguo ya ndani inaleta hamasa,
weye wataka watu wakae full naked.
Mapenzi yenyewe ya siku hizi hizi au mapenzi gani unayoyaongelea.
Hapo imenibidi nicheke.....unamaanisha hawa Sanje Mangabay?
Yawezekana wakawa ni hao, fatilia tangazo liliyopo kwenye original comedy Tbc kuhusu vivutio vya Udzungwa.
Utawaona Nyani weusi wenye baka jeupe kifuani, ndiyo waliothibitishwa wana aibu watazamanapo na binadamu.
Hivi unajua uchi uchi kabisa inatisha!!
Yani inama/inuka mtupu, hapana
Hehehe...
Kuna jamaa mmoja uchi wake ulimsaidia asiliwe na simba huko porini...
Kuna siku jamaa alikuwa anakatiza porini sasa kwa mbali akasikia Simba akiunguruma...basi jamaa akabanwa na haja zote pale kwa uoga.
Kwa mbaaaali si akamuona Simba anakuja huku akiwa anamkimbilia...
Basi yule mjomba kwa haraka mno likamjia wazo moja tu, akasaula viwalo vyote muda ule ule halafu akabong'oa kuelekea usawa wa Simba...
Basi Simba kwa uoga ikabidi asimame, hamu yote ya kujitwalia kitoweo ikamtoka...
Nasikia kumbe Simba aliogopa kumuona mwanadamu akiwa uchi halafu kabong'oa kila kitu kipo wazi penenguuu...akabaki anajiuliza tu hivi yule ni kiumbe gani!!!
Kiwavi-mjeda on patrol !
Afu wewe ungepinga tu! Leo mi ningejitoa Jeiefu!
Hahahahahaa kuanzia juzi mpaka leo sijui serewale inafananaje,ni rigwaride kwa kwenda mbele,milango nimefunga naona Kongosho anatamani achoropoke kupitia dirishani,tatizo hana parachute,tupo floor 38 petro tower kuala lumpar.