Kama Mke na Mume ni Mwili Mmoja, Nguo basi .............?

Mwenzangu...yani nainama nainuka,tunapishana maspika yanaruka ruka..hapana taka iyo!!

Shemegi Chocs! Hebu badilisha usemi !
Utayaitaje maspika?
Wkt hayo makitu ndy yanayowafanya kukicha mnayaendea kwa wataalamu? Kugombana, kulogana, vyote hivyo mkilenga kumiliki pekee hayo maspika?
 
Last edited by a moderator:
Shemegi Chocs! Hebu badilisha usemi !
Utayaitaje maspika?
Wkt hayo makitu ndy yanayowafanya kukicha mnayaendea kwa wataalamu? Kugombana, kulogana, vyote hivyo mkilenga kumiliki pekee hayo maspika?

Hapana kuelewa maspika ndio makitu gani? Picha itakuwa na msaada zaidi
 
Last edited by a moderator:
Hapana kuelewa maspika ndio makitu gani? Picha itakuwa na msaada zaidi
Asente Ankoo kwa kukazia sisitizo! Da' Chocs unasubiriwa madadavuzi ya "maspika" ! Kama ni akina Anne Matoto ya ndege! Au ni vipi , utaeksplein ! Unalo hilo Chocs!
 
Last edited by a moderator:
mhm! makubwa haya niyasomayo ngoja niwaalike Bishanga na Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Alaaa!
Chocs , badala umsaidie Bishanga walau kwa kumlisha injili apunguze kinywaji , wee unaishia kucheka! Au unasubiri afikie stegi ya kulamba matap-tap ndiyo umlishe NENO?
Muhurumie atapitiliza!
Shamwambia mara kibao lakini hasikii, Erickb52 shahidi yangu. Bishanga sijui keshakua sikio la kufa!!!
 
Last edited by a moderator:
Shemegi Chocs! Hebu badilisha usemi !
Utayaitaje maspika?
Wkt hayo makitu ndy yanayowafanya kukicha mnayaendea kwa wataalamu? Kugombana, kulogana, vyote hivyo mkilenga kumiliki pekee hayo maspika?
Ndo imebidi nitumie tafsida shem
Hivi unajua maspika ni kitu gani?!!
 
Hahahahahahaha..
maspika=makalio, nisamehewe tafwadhali!!

Makalio ndiyo nini? Chupa ya chai, Mtungi, Fridge navyo pia vina makalio!
Si ujiripue tu?
Unanyali sever? Sever si iko kwa ajili ya watu shem!
 
Hahahahahahaha..
maspika=makalio, nisamehewe tafwadhali!!

sasa Chocs, kukaa kote na ericB52 bado unaogopa kutaja maspika, sasa si ndo raha yake kama hoja ndio hiyo,,, yaani mkipishana yanavibrate au?

CC Judgement
 
Last edited by a moderator:
Makalio ndiyo nini? Chupa ya chai, Mtungi, Fridge navyo pia vina makalio!
Si ujiripue tu?
Unanyali sever? Sever si iko kwa ajili ya watu shem!
Chezea BAN wewe,embu wewe jitoe akili nikuone ukijilipua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…