Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasikia kila siku mke wa mtu ni sumu je nauliza wanaume wa watu siyo sumu au ruksa?????
<br />Utasikia kila siku mke wa mtu ni sumu je nauliza wanaume wa watu siyo sumu au ruksa?????
<br />
<br />
mume wa mtu ni maziwa ya kuneutralize sumu
Parking at owner's risk
Utasikia kila siku mke wa mtu ni sumu je nauliza wanaume wa watu siyo sumu au ruksa?????
Yeah na utakapokuta gari lako limedondokewa na mti usilalamike maana ni at your own risk
Na utakaporudi home na ukakuta mama watoto amefungasha kila kitu na kuondoka zake ni at your own risk
Na utakapotolewa ngeu na mwenye mali wakati umefumaniwa ni at your own risk
Na matumizi ya nyumba ndogo yatakapoongezeka na nyumba kubwa ikawa inalala njaa ni at your own risk
na atakapokupa kaugonjwa pia ni at yr own rsk
Maamuzi yote utakayoyafanya ni at your own riskna utakapokuwa msukule wa nyumba ndogo ni at your own risk
Maamuzi yote utakayoyafanya ni at your own risk
........at ur own risk hahaha.....,hivi naomba kuuliza kama una nyumba ndogo hafu ukamfumania unaumia kama ambavyo ungeumia kwa mkeo?
<br />........at ur own risk hahaha.....,hivi naomba kuuliza kama una nyumba ndogo hafu ukamfumania unaumia kama ambavyo ungeumia kwa mkeo?