Kama mke wa mtu ni sumu je mume wa mtu?

Kama mke wa mtu ni sumu je mume wa mtu?

mambomoto

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
326
Reaction score
236
Utasikia kila siku mke wa mtu ni sumu je nauliza wanaume wa watu siyo sumu au ruksa?????
 
Parking at owner's risk

Yeah na utakapokuta gari lako limedondokewa na mti usilalamike maana ni at your own risk
Na utakaporudi home na ukakuta mama watoto amefungasha kila kitu na kuondoka zake ni at your own risk
Na utakapotolewa ngeu na mwenye mali wakati umefumaniwa ni at your own risk
Na matumizi ya nyumba ndogo yatakapoongezeka na nyumba kubwa ikawa inalala njaa ni at your own risk
 
na atakapokupa kaugonjwa pia ni at yr own rsk
 
........at ur own risk hahaha.....,hivi naomba kuuliza kama una nyumba ndogo hafu ukamfumania unaumia kama ambavyo ungeumia kwa mkeo?
 
Mkuu ni nyumba ndogo na umeifumani tena hapo kimbia maana usalama ni sifuri kabisa
maumivu sidhani maana hapo unajua kabisa kuwa ni jamvi la wageni halifai
 
........at ur own risk hahaha.....,hivi naomba kuuliza kama una nyumba ndogo hafu ukamfumania unaumia kama ambavyo ungeumia kwa mkeo?
<br />
<br />
wanaumia sana nilishawahi sikia mme wa mtu kataka kujiua sababu kamfumaania nyumba ndogo yake
 
Mume wa mtu ndio sumu zaidi kushinda hata ile sumu ya panya! Cha ajabu mwezi uliopita kuna stori ililetwa humu jamvini (aliyeileta nimemsahau), inayodai kuwa hawara wa mwanamme alimuua mke wa ndoa wa huyo mwanaume eti kwa kushindwa kujizuia wivu wake! Jamani ndoa ziheshimiwe!
 
Back
Top Bottom