Kama Mkristu Mkatoliki Naomba Unishauri!

Uko wapi, bado sana kuna nafasi kubwa na uwezo wa kuwa padri mpk sasa! Hizo scrament unaweza pata tu.

Kikubwa naomba kujua uko wapi na unafanya nini kuanzia hapo I will help you to follow your dream to be a priest/padri.

Cha msingi usiwe umeoa au kuwa na mtoto, binafsi nina 34 kasoro but still nawaza kurudi nikawe padri wito ni kitu cha ajabu mno. Nitafute pm.
Nipo Dar es salaam.. Proffesion yangu ni Engineer
 
Milele Amina!

Kama unaikumbuka Parokia yako uliyobatizwa basi nenda hapo ukiwa na taarifa zako sahihi kwa maana ya jina lako la Ubatizo, Jina la Baba na la Mama. Pia kama hukumbuki mwaka exactly unaweza wapa range, watacheki kwenye register na wakikupata watakupa Cheti kipya cha Ubatizo kikiwa na details zote!
Sasa ukiisha kipata hicho cheti cha Ubatizo rudi kwenye Parokia yako ya sasa na uongee na uongozi kujua ni kipindi gani mafundisho ya Wakatukumeni yataendeshwa, jiunge nayo na utapatiwa Komunyo ya kwanza na Kipaimara!

Angalizo:
Utafute na Jumuiya mahalia unapoishi ili uwe unasali pamoja na wana jumuiya wenzako, hii itakusaidia sana kwenye process za Masakramenti hayo na hata Ndoa muda ukifika!

Kila la heri na Mungu akuongoze!
amina
 
Sijui utaratibu wa huko, ila kwa huku nilipo Mimi, muumini a shatoa detail za wapi alibatizwa basi kanisa ndio hufatilia kujiridhisha. Km ni kweli wakikuta taarifa zako zipo basi unapata sakrament iwe ya ubatizo,kipairama, ndoa au upako mtakatifu bila shida.
 
Amina saana!
 
Nenda kanisani kaonhee na Padre atakusaidia. Utapata sacrament zote mbili kwa pamoja, komunio na kipaimara.

Wapo watu wanapata hz sakrament ukubwani so usiogope wala kujisikia vibaya
 
Ondoka huko kwenye kanisa linaloloongozwa na Ibilisi, anza kusoma Biblia vizuri kisha utaijua KWELI na hiyo KWELI itakuweka huru kweli kweli.

Kanisa Katoliki ni mali ya Shetani na ndiyo linalowapotosha Wakristo na kuwafanya kuitumikia dini ya UPAGANI na kuyaacha "mafundisho" ya KWELI ya MUNGU. Ukisoma Biblia kwenye kitabu cha UFUNUO utaona kuna mahali imeandikwa hivi; "BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI". Huyu mama wa makahaba ndiye KANISA KATOLIKI!

Mwenye masikio na asikie!
 
Hamuijui Theolojia... Hamjui Kuitafisri Hata BIBLIA... Catholic is Like a Home... Nitaenda Nyumba Bora zaidi ya Katoliki kama ipo Lakini hakuna.... kwahio Nitabaki kuwa Mkatoliki..
 
Huwezi kuijua "nyumba bora" kama hujavutwa na BABA MUNGU, ni wale wachache waliochaguliwa ndiyo wanaijua nyumba iliyo bora na kuiona njia ya KWELI NA HAKI. Endelea kuogelea kwenye mafundisho ya "uwongo" ya kanisa katoliki, lakini ipo siku utafahamu na kuelewa nilichokiandika hapa kuwa ni KWELI kabisa.

Narudia tena kusema bila uwoga; "kanisa katoliki" ni mali ya Shetani na limejaa uwongo na upotoshaji wa makusudi kabisa. Soma Biblia yako na utaijua KWELI, nayo hiyo KWELI itakuweka huru kweli kweli!

Lipi Hilo ambalo Halina Uchafu?
 
Son of Gamba nakupa tano ya nguvu, umegundua sasa!!! Usioe au kuolewa ili ufanye kazi ya Mungu wapi na wapi!!
 
Fanya hivi ipo namna unayoweza kufanya na kupata hizo skaramenti kama unania..

nenda ofisi ya paroko unaposali muelezee kuna namna anaweza kukusaidia kwa kukuunganisha na mafundisho ya wakate kumeni kama unawajua au maana yake ni mafundisho ya watu wazima wanaopokea wakati wa mkesha wa x-mass unapewa sakramenti zote tatu..

Na mafundisho yake ni rahisi sana na pia ni darasa la watu wazima tupu
 
Asantee boss... Umenipaa Ushauri Mzuri saaana...
 
Baki na imani ya kanisa katoriki ndugu achana na propaganda zao hao watu maana hata hao wanaodai wamelowea katika madhehebu mengine wametoka na chimbuko la kanisa mama kanisa katoriki.
 
Back
Top Bottom