Nipo Dar es salaam.. Proffesion yangu ni EngineerUko wapi, bado sana kuna nafasi kubwa na uwezo wa kuwa padri mpk sasa! Hizo scrament unaweza pata tu.
Kikubwa naomba kujua uko wapi na unafanya nini kuanzia hapo I will help you to follow your dream to be a priest/padri.
Cha msingi usiwe umeoa au kuwa na mtoto, binafsi nina 34 kasoro but still nawaza kurudi nikawe padri wito ni kitu cha ajabu mno. Nitafute pm.
aminaMilele Amina!
Kama unaikumbuka Parokia yako uliyobatizwa basi nenda hapo ukiwa na taarifa zako sahihi kwa maana ya jina lako la Ubatizo, Jina la Baba na la Mama. Pia kama hukumbuki mwaka exactly unaweza wapa range, watacheki kwenye register na wakikupata watakupa Cheti kipya cha Ubatizo kikiwa na details zote!
Sasa ukiisha kipata hicho cheti cha Ubatizo rudi kwenye Parokia yako ya sasa na uongee na uongozi kujua ni kipindi gani mafundisho ya Wakatukumeni yataendeshwa, jiunge nayo na utapatiwa Komunyo ya kwanza na Kipaimara!
Angalizo:
Utafute na Jumuiya mahalia unapoishi ili uwe unasali pamoja na wana jumuiya wenzako, hii itakusaidia sana kwenye process za Masakramenti hayo na hata Ndoa muda ukifika!
Kila la heri na Mungu akuongoze!
OK hiyo ni ww ila ushajua biblia inatska ujisikiaje? Inataka uelewe nn juu ya ukristo?Najisikia Vibaya..
Amina saana!Sijui utaratibu wa huko, ila kwa huku nilipo Mimi, muumini a shatoa detail za wapi alibatizwa basi kanisa ndio hufatilia kujiridhisha. Km ni kweli wakikuta taarifa zako zipo basi unapata sakrament iwe ya ubatizo,kipairama, ndoa au upako mtakatifu bila shida.
Hamuijui Theolojia... Hamjui Kuitafisri Hata BIBLIA... Catholic is Like a Home... Nitaenda Nyumba Bora zaidi ya Katoliki kama ipo Lakini hakuna.... kwahio Nitabaki kuwa Mkatoliki..Ondoka huko kwenye kanisa linaloloongozwa na Ibilisi, anza kusoma Biblia vizuri kisha utaijua KWELI na hiyo KWELI itakuweka huru kweli kweli.
Kanisa Katoliki ni mali ya Shetani na ndiyo linalowapotosha Wakristo na kuwafanya kuitumikia dini ya UPAGANI na kuyaacha "mafundisho" ya KWELI ya MUNGU. Ukisoma Biblia kwenye kitabu cha UFUNUO utaona kuna mahali imeandikwa hivi; "BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI". Huyu mama wa makahaba ndiye KANISA KATOLIKI!
Mwenye masikio na asikie!
Huwezi kuijua "nyumba bora" kama hujavutwa na BABA MUNGU, ni wale wachache waliochaguliwa ndiyo wanaijua nyumba iliyo bora na kuiona njia ya KWELI NA HAKI. Endelea kuogelea kwenye mafundisho ya "uwongo" ya kanisa katoliki, lakini ipo siku utafahamu na kuelewa nilichokiandika hapa kuwa ni KWELI kabisa.Hamuijui Theolojia... Hamjui Kuitafisri Hata BIBLIA... Catholic is Like a Home... Nitaenda Nyumba Bora zaidi ya Katoliki kama ipo Lakini hakuna.... kwahio Nitabaki kuwa Mkatoliki..
Lipi Hilo ambalo Halina Uchafu?Huwezi kuijua "nyumba bora" kama hujavutwa na BABA MUNGU, ni wale wachache waliochaguliwa ndiyo wanaijua nyumba iliyo bora na kuiona njia ya KWELI NA HAKI. Endelea kuogelea kwenye mafundisho ya "uwongo" ya kanisa katoliki, lakini ipo siku utafahamu na kuelewa nilichokiandika hapa kuwa ni KWELI kabisa.
Narudia tena kusema bila uwoga; "kanisa katoliki" ni mali ya Shetani na limejaa uwongo na upotoshaji wa makusudi kabisa. Soma Biblia yako na utaijua KWELI, nayo hiyo KWELI itakuweka huru kweli kweli!
Mwenye masikio na asikie!
CCOG, Hili ndilo kanisa la KWELI la MUNGU.Lipi Hilo ambalo Halina Uchafu?
Ingia hapa CCOG - Continuing Church of God na utajifunza mengi sana mkuu.Theology yake unayo? Naeza kuipitia kidogo
Hakuna Kitu... No church has better Theology Than Catholic Church.... na soon Mungu akijalia nakuwa Padre..Ingia hapa CCOG - Continuing Church of God na utajifunza mengi sana mkuu.
Asantee boss... Umenipaa Ushauri Mzuri saaana...Fanya hivi ipo namna unayoweza kufanya na kupata hizo skaramenti kama unania..
nenda ofisi ya paroko unaposali muelezee kuna namna anaweza kukusaidia kwa kukuunganisha na mafundisho ya wakate kumeni kama unawajua au maana yake ni mafundisho ya watu wazima wanaopokea wakati wa mkesha wa x-mass unapewa sakramenti zote tatu..
Na mafundisho yake ni rahisi sana na pia ni darasa la watu wazima tupu
Asantee boss... Umenipaa Ushauri Mzuri saaana...
Asantee boss... Umenipaa Ushauri Mzuri saaana...