Kama Mkutano wa Ndani Unajaa Watu Kiasi Hiki. Vipi Kwa Mkutano wa Nje? CCM ina uwezo wa kujaza hata Uwanja wa Taifa

Futa ujinga wako, hapo kuna wakuu wa Idara, watumishi wa umma na wanafunzi wa sekondari wamelazimishwa kwenda na kuvalishwa hizo nguo za laana.
 
Kwanza ni shetani pekee anaweza kusuport majangili ya CCM
 
Wivu tu unakusumbua.kwani wafanyakazi wa halmashauri na walimu wao hawapigi kura? Siyo watanzania?hawashiriki uchaguzi?
Wamepewa na buku 5 ya mboga 🤣🤣🤣
Huu uzi nao no ujinga mtupu, kweli chama dola kilichopo madarakani toka 1954 mpakq leo unakianzishia uzi kwa watu waliovaa mashati na magauni ya Kijani???
 
Sasa hao si ni wanachama wake, tena viongozi kuanzia mabalozi wa nyumba 10, tawi, kata hadi mkoa kwa nini wasijae kwenye kaukumbi hako. Kumbuka watanzania wapo milioni 60+ nusu yao ni wapiga kura. Hao hata 1000 hawavuki.
Na wengi wameenda kwa kulazimishwa
 
Hatuna mwana CCM aina yako asiyejitambua wala kujielewa. CCM hatugawani wala kugawa ajira bali ndani ya CCM na serikali yake kunagawiwa majukumu kulingana na uwezo wa mtu kiuongozi na kumudu majukumu ya kazi husika.
Mimi ni CCM kwa kuzaliwa, nimezaliwa kijijini nyumbani kuna bendera ya chama hadi leo, mzee wangu ni mwenyekiti wa kitongoji tangu miaka ya 1980s enzi za TANU pia ni balozi wa kudumu wa nyumba 50. Sio wewe kadi umepewa stendi ya daladala halafu unaleta ujuaji

Mimi hadi kadi ya chipukizi ninayo kabla hazijapotea. Acha kujiona una hatimiliki na chama ambacho umekijua ukubwani pimbi wewe
 
Uko sahihi kabisa. Ndiyo maana Mbowe hawezi kuachia kiti cha mwenyekiti wa maisha wa (Saccos yake?)
Hawezi kuachia kiti kwani nae ni muhananga kama wahananga wengine, ila mbowe ana view, na stratergies za hali ya juu kuliko unavyo mdhani, japo hafai kua kiongozi wa nchi! Kwahivyo basi mimi sifungamani na wahananga waina yoyote, ila nawasikiliza na wakumuelewa na muelewa na wakumkataa namkataa! Bahati mbaya watu wanaofaha kutuongoza wengine hawafungamani na chama chochote, hivyo mimi nipo kwenye kundi la wanao tamani swala la wagombea binafsi lifikiwe kama likiwezekana
 
Kama kila mtu akitoka humo ana kaelf khamsin kake kwanini wasijae

..fedha za kufanya mambo makubwa namna hii wanatoa ktk vyanzo gani?

..je, ni michango ya wanachama, au ni KODI ya kila Mtanzania hata asiye na chama?
 
Huyu pimbi ameijua CCM baada ya kuajiriwa UWT Chunya
 
Mtaendelea kuwa na ujinga huohuo.
Duniani kuna mnyiha mwenye akili?Juliana shonza-mnyiha(chadema kwenda ccm),john silinde mnyiha(chadema kwenda ccm)mwampamba yule alimla jokate jpm akakasirika, mnyiha(chadema kwenda ccm).we we mnyiha uko ccm.Tafuta mnyakyusa aliehama chadema kwenda ccm.uwe na adabu
 
Tena wamevaa laana tupu
Nashangaa sana kitengo cha Propaganda cha CCM kimekosa hoja kabisa. Yaani uchaguzi uwe wa huru na haki wanachapika mapema mnooo. Juzi, jana na leo tumeendeshana sana na harakati za uchaguzi wa serikali za mitaa. Chama dola kinatapatapa huku kikimtumia Afisa Mtendaji wa mtaa asaidie mizengwe. 🤣🤣🤣
Mchezo wa safari hii mtaani kwangu ninao hawa yaani ni jino kwa jino.
 
Futa ujinga wako, hapo kuna wakuu wa Idara, watumishi wa umma na wanafunzi wa sekondari wamelazimishwa kwenda na kuvalishwa hizo nguo za laana.
Nani kakwambia CCM huwa inalazimisha mtu kwenda kwenye mikutano yake? Halafu nani kakwambia kuwa wakuu wa idara au watumishi siyo wapiga kura na siyo watanzania? Unaweza vipi lazimisha watu wengi kiasi hiki kuja mkutanoni?
 
Hakuna mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kuwaunga mkono CHADEMA genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…