Huna Hoja wewe ni wa kupuuzwa.Wewe usiye jitambua ndiye wa kupuuzwa.
Wakupuuzwa ni wewe.Huna Hoja wewe ni wa kupuuzwa.
Toeni haki sawa kwa vyama vyote ndo utuleze " UHARO" wako.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika CCM ina mamilioni ya wanachama,ina washabiki wa kutosha ,ina wafuasi wengi sana ,ina aminika sana ,ina kubalika sana ,inapokeleka na kupokewa na mamilioni ya watanzania kila ipitapo,ina nafasi katika mioyo ya watanzania. Ukiona mkutano wa ndani tu watu wana jaa na kufurika kiasi hiki ,basi ni lazima ufahamu ya kuwa chama hiki kipo mioyoni mwa watu na kimebeba matumaini yao.
Hawa unaowaona pichani ni Sehemu tu ya maelfu ya wengine ambao wanakuwa wamebakia nje kwa kukosa nafasi ya kukaa ndani. Hata uchukue ukumbi wenye ukubwa wa aina ipi , CCM inauwezo wa kuujaza ndani ya dakika moja na wengine kubakia nje ya ukumbi.CCM ina uwezo wa kuujaza uwanja wa Taifa na ukabakia uking'aa kwa rangi za kijani na njano tu.
Kwa hakika hiki chama ni mpango wa Mungu mwenyewe.huwezi ukashindana nacho hata kidogo.iwe ni jukwaani au katika sanduku la kura.
Nawakumbusheni tu kuwa hapa ni Mkoani Shinyanga wilaya ya KahamaView attachment 3121159View attachment 3121160
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tuma namba nikurushie picha picha tulioandamanaMatapeli tu nyie msiojitambua.
Nimejikuta nabubujika tu.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika CCM ina mamilioni ya wanachama,ina washabiki wa kutosha ,ina wafuasi wengi sana ,ina aminika sana ,ina kubalika sana ,inapokeleka na kupokewa na mamilioni ya watanzania kila ipitapo,ina nafasi katika mioyo ya watanzania. Ukiona mkutano wa ndani tu watu wana jaa na kufurika kiasi hiki ,basi ni lazima ufahamu ya kuwa chama hiki kipo mioyoni mwa watu na kimebeba matumaini yao.
Hawa unaowaona pichani ni Sehemu tu ya maelfu ya wengine ambao wanakuwa wamebakia nje kwa kukosa nafasi ya kukaa ndani. Hata uchukue ukumbi wenye ukubwa wa aina ipi , CCM inauwezo wa kuujaza ndani ya dakika moja na wengine kubakia nje ya ukumbi.CCM ina uwezo wa kuujaza uwanja wa Taifa na ukabakia uking'aa kwa rangi za kijani na njano tu.
Kwa hakika hiki chama ni mpango wa Mungu mwenyewe.huwezi ukashindana nacho hata kidogo.iwe ni jukwaani au katika sanduku la kura.
Nawakumbusheni tu kuwa hapa ni Mkoani Shinyanga wilaya ya KahamaView attachment 3121159View attachment 3121160
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Weka hapa jukwaaniTuma namba nikurushie picha picha tulioandamana
Haki gani mnayoitakaToeni haki sawa kwa vyama vyote ndo utuleze " UHARO" wako.
Mkapa alisema ilibidi serikali itumie bilioni 100 kuikoa ccm bado Kikwete na Magufuli, hatujajua Rais Samia atatumia trilioni ngapi kuendelea kuiokoa ccm.Unaweza vipi walipa watu hawa wote ili wahudhurie mkutanoni? Kwa pesa kiasi gani hicho? Watu wanahudhuria mikutano ya CCM kwa hiyari yao na kwa upendo wao kwa CCM kama unavyoona hapaView attachment 3121253View attachment 3121254
Umenena ukweli mtupu na mchungu sana kwa nyumbu wa Ufipa.Sio Uwanja wa Taifa pekee bali CCM ina uwezo wa kuijaza Arusha, Kilimanjaro na Ufipa kwa umati wa watu.
Tunaweza kusema Tanzania ni CCM na CCM ndio Tanzania yenyewe.
Wakati CCM inajaza uwanja kwa rangi za kijani na njano, Chadema wanashughulika na majukwaa ya kutunga hadithi kama waandishi wa filamu za vichekesho.
Wanadhani wanaweza kuandika script ya ushindi, lakini ukweli ni kwamba hadithi yao haivutii hadhira, ndio maana imekosa wafuatiliaji.
Narejesha kipaza sauti kwako Lucas Mwashambwa
CCM inapigiwa kura na kuungwa mkono na watanzania kwa hiyari yao kabisaMkapa alisema ilibidi serikali itumie bilioni 100 kuikoa ccm bado Kikwete na Magufuli, hatujajua Rais Samia atatumia trilioni ngapi kuendelea kuiokoa ccm.
Mkapa ni muongo?.CCM inapigiwa kura na kuungwa mkono na watanzania kwa hiyari yao kabisaView attachment 3121261
Wewe ndio uone mbona una wasiwasi kutoa namba ? Chawa/Kupe la Chama usiogope weka namba hapa nikurushie picha ya maandamanoWeka hapa jukwaani
Weka hapa watu waone ulivyojificha chumbani kwako.Wewe ndio uone mbona una wasiwasi kutoa namba ? Chawa/Kupe la Chama usiogope weka namba hapa nikurushie picha ya maandamano
Weka hayo maneno ya HayatiMkapa ni muongo?.
Wewe namba yako si huwa unaiweka humu? Tuma hapa, siwezi kuweka picha public kuna waandamanaji wengi wasingependa kuonekana hapa hadharaniWeka hapa watu waone ulivyojificha chumbani kwako.
Kodi yenu walalahoi
Kwani mlikuwa mnaandamana vyumbani,gizani au uchochoroni? Kama mlikuwa mnaandamana kwa watu Kwanini sasa hamtaki sasa kuonekana hapa mlivyoandamana?Wewe namba yako si huwa unaiweka humu? Tuma hapa, siwezi kuweka picha public kuna waandamanaji wengi wasingependa kuonekana hapa hadharani
CCM haiwezi kumnunua mtu kwa ajili ya kujiunga . CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu...vipi Ccm kununua kuhonga na kununua wapinzani?
..Je, fedha za kununua wapinzani ni michango ya wanachama wa Ccm, au kodi zetu walalahoi kama ruzuku?