Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Aliyeleta hujuma hii hasa ni nani ?Aliachwa Tambwe ili asajiliwe Kiiza. Huwa wanajitetea hivyo viongozi wa timu yenu.
Asante mkuu .Yanayoendelea simba ni yaleyale.Tambwe aliachwa akiwa mfungaji bora wa ligi.Kuna pandikizi wengi mle.Hasa huyo PoP.
Kweli kabisa mkuu Hans pope na kundi lake wapo kwa manufaa yao tu sio mpira yeye ndo chanzo cha kuachwa kwa Amis TambweTambwe alitemwa na Hans Pope akasingizia kocha Patrick Phiri amesema ha-fit kwenye mfumo wake.Akamleta Serunkuma akachemsha Kibaya zaidi tangu Tambwe atue Yanga anafunga magoli kila mechi
Janga kuu...Mliona 6 mkadhani 9 kumbe mmeinama !
Muinamisheni yeye Pop kabla hamjainamishwa kabisaaJanga kuu...
Acha uongo wewe Tambwe kaachwa zaman na Kiza kaja season inayoisha! Tambwe alianza kupigwa benchi na Phir wakati Kiza anacheza bado Yanga! Kiza ndo aliachwa Yanga ili Tambwe aingineAliachwa Tambwe ili asajiliwe Kiiza. Huwa wanajitetea hivyo viongozi wa timu yenu.
Hahahh nimependa kichwa cha habari 'kama mmbwai iwe mmbwai 'Aliyeleta hujuma hii hasa ni nani ?
Ukimjua Mwenyekiti wa usajili tu basi utakuwa umejibu swali lakoAliyeleta hujuma hii hasa ni nani ?