Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,909
Yalishapita hayo tujipange kutengeneza kikosi.!
Kutengeneza timu au kuunda timu mpya! Maana waliopo ni beyond repair - write off!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yalishapita hayo tujipange kutengeneza kikosi.!
Toka waanze kusema wanajenga timu hata kama ingekuwa ghorofa 10 ingekuwa imeisha.Kutengeneza timu au kuunda timu mpya! Maana waliopo ni beyond repair - write off!
nawe umetudanganya kiiza aliachwa kuziba nafasi ya jaja,alivyokimbia jaja ndo tambwe akajaAcha uongo wewe Tambwe kaachwa zaman na Kiza kaja season inayoisha! Tambwe alianza kupigwa benchi na Phir wakati Kiza anacheza bado Yanga! Kiza ndo aliachwa Yanga ili Tambwe aingine
Toka waanze kusema wanajenga timu hata kama ingekuwa ghorofa 10 ingekuwa imeisha.
Hao watani hali wanayo pitia ni ngumu sana.Inategemea ni ghorofa kumi (10) za floor ngapi! heheheh
au ulimaanisha ghorofa moja yenye floor 10!??? #kiswahili #fuckingwithYOU
Wanasimba maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga , tumeanzisha vita dhidi ya wasaliti , naomba kuanzia sasa UCHUNGUZWE UHALALI WA UANACHAMA WA HANSPOPE , aliingiaje simba ? Alitumwa na nani , kwa malengo gani ? Anashirikiana na Akina nani ? Haiwezekani mtu mmoja anyoshewe vidole na kila mtu halafu sisi kama wanachama tumebweteka tu .mtafute HANS
Yanga nayo ni timu sasa,tunafungaga 5,6....Yanga anabebwa ha ha naona mmestukia hii propaganda mtachapana mwaka huu
Sitamsamehe aliyesababisha mchezaji huyu kuondoka simba .Tukimjua , huyo ndiye adui mkubwa wa timu yetu .
Haiwezekani na wala haitawezekana kuvumilia jambo hili .
Kumuacha mchezaji kama huyu na kuchukua galasa kama Kiongera na wengine wa aina hiyo haikubaliki na itafsiriwe kama hujuma .
Hakuna msamaha kwa mtu kama huyu , au ndani ya simba kumepandikizwa wana Yanga ?
Uchunguzi uanze leo .
Ni nani huyo mkuu ? Kila nikimwangalia huyu mchezaji najuta kumpoteza, sipati picha kama huku angekuwa kichuya kule Tambwe !Huyo mchawi wa kumuacha hamisi tambwe wakati ametoka kuwa mfungaji bora ndie alietutia nuksi
Mtani kwema? naona kotekote unatakata nyakati za majonzi zimeisha au ni upepo utapita?Yalishapita hayo tujipange kutengeneza kikosi.!
Hahahaah mtani kwa huku ni mwendo mdundo ila kwa Babu Wenger bado sina uhakikaMtani kwema? naona kotekote unatakata nyakati za majonzi zimeisha au ni upepo utapita?
Bado nae yupo vizuri ligi ngumu sana chochote chaweza kutokeaHahahaah mtani kwa huku ni mwendo mdundo ila kwa Babu Wenger bado sina uhakika
Baada ya miaka kadhaa mtaanza kumtafuta mchawi kwa kessi tenaNi nani huyo mkuu ? Kila nikimwangalia huyu mchezaji najuta kumpoteza, sipati picha kama huku angekuwa kichuya kule Tambwe !
Kwa Tambwe tumeliwa vibaya sana !Baada ya miaka kadhaa mtaanza kumtafuta mchawi kwa kessi tena