KAMA MMBWAI NA IWE MMBWAI , Wanasimba wenzangu , Ni nani hasa aliyesababisha Amis Tambwe aachwe ?

Acha uongo wewe Tambwe kaachwa zaman na Kiza kaja season inayoisha! Tambwe alianza kupigwa benchi na Phir wakati Kiza anacheza bado Yanga! Kiza ndo aliachwa Yanga ili Tambwe aingine
nawe umetudanganya kiiza aliachwa kuziba nafasi ya jaja,alivyokimbia jaja ndo tambwe akaja
 
Kwa kweli viongozi wa simba wana hamnazo kweli kweli, yaani wanataka kurudia tena kosa lile lile kwa kumuacha Kiiza? Sababu amedai mshahara wake???
 
mtafute HANS
Wanasimba maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga , tumeanzisha vita dhidi ya wasaliti , naomba kuanzia sasa UCHUNGUZWE UHALALI WA UANACHAMA WA HANSPOPE , aliingiaje simba ? Alitumwa na nani , kwa malengo gani ? Anashirikiana na Akina nani ? Haiwezekani mtu mmoja anyoshewe vidole na kila mtu halafu sisi kama wanachama tumebweteka tu .
 
Kampata mchezaji aliyejiapiza Kuwa asipofunga goli ktk mechi yoyote Ile akatwe million 1 kwenye mshahara wake, naye kakubali kumsajili bila kumfanyia interview.. HANS katika ubora wake. Yaani akishajua Kuna 10% bhaaaaasi...
 
Sitamsamehe aliyesababisha mchezaji huyu kuondoka simba .
 
Huyo mchawi wa kumuacha hamisi tambwe wakati ametoka kuwa mfungaji bora ndie alietutia nuksi
Ni nani huyo mkuu ? Kila nikimwangalia huyu mchezaji najuta kumpoteza, sipati picha kama huku angekuwa kichuya kule Tambwe !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…