Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Wachina wanaihitaji bandari ya bagamoyo kuliko sisi watanzania tunavyoihitaji.
Nasikia Mwamba wa Bagamoyo ni mgumu sana hivyo hii Bandari ijengwe Mtwara na Reli ijengwe toka Mtwara kuunga na za kwenda BaraNi ushauri tu,
Sipendi ujuaji sana wa kusoma kwenye makaratasi ila huwa napenda kuchakachua ubongo wangu,
Kama kweli mnaipenda bandari ya bagamoyo ni bora tungejenga kwa hela zetu tunazoingiza bandari ya Dar es Salaam.
Ni ushauri tu,

Ni ni kweli kabisa kwamba huwa "unachakachua ubongo wako", maana inaonyesha wazi.Ni ushauri tu,
Sipendi ujuaji sana wa kusoma kwenye makaratasi ila huwa napenda kuchakachua ubongo wangu,
Kama kweli mnaipenda bandari ya bagamoyo ni bora tungejenga kwa hela zetu tunazoingiza bandari ya Dar es Salaam.
tujenge kwa hela zetu, una hela hizo? wacha wachina wajenge, sisi tutafaidika kwenye usafirishaji mizigo kwenda nchi za nje/landlocked na kwengine, na ajira. tena wajenge haraka sana ili bwagamoyo liwe jiji jingine east africa, na iwe mji wa viwanda kama huko china.Ni ushauri tu,
Sipendi ujuaji sana wa kusoma kwenye makaratasi ila huwa napenda kuchakachua ubongo wangu,
Kama kweli mnaipenda bandari ya bagamoyo ni bora tungejenga kwa hela zetu tunazoingiza bandari ya Dar es Salaam.
na katuachia madeni yeye kasepa...hahahaYule Mzee alikuwa akiwadanya watu miradi tunajenga kwa fedha zetu, kumbe alikuwa anakopa kupitiliza
Hatuna uwezo huo mkuu. Unajua gharama yake na mbwembwe zake? Tanzania tuna upugufu wa visionary leadersNi ushauri tu,
Sipendi ujuaji sana wa kusoma kwenye makaratasi ila huwa napenda kuchakachua ubongo wangu,
Kama kweli mnaipenda bandari ya bagamoyo ni bora tungejenga kwa hela zetu tunazoingiza bandari ya Dar es Salaam.
Huo ujenzi wa bandari hauna hasara zozote zaidi ya faida. Utaongeza biashara na ajira nyingi.
Kwa jinsi nilivyoelewa mimi hiyo bandari haijengwi kwa pesa ya mkopo. Wataitumia hela yao kujenga na wataitumia bandari kufanya biashara kwa muda fulani ili waludishe pesa yao na baada ya hapo wanatuachia bandari Yetu wao wanasepa. Kwa makubaliano hayo mimi sioni kama kuna tatizo
Mnauhakika mpo vizuri kwenye uhasibu, mtaweza kuwakagua kwamba tayari wamerudisha hizo fedha au la. Wakikataa kwamba bado hawajarudisha mtafanyaje??Huo ujenzi wa bandari hauna hasara zozote zaidi ya faida. Utaongeza biashara na ajira nyingi.
Kwa jinsi nilivyoelewa mimi hiyo bandari haijengwi kwa pesa ya mkopo. Wataitumia hela yao kujenga na wataitumia bandari kufanya biashara kwa muda fulani ili waludishe pesa yao na baada ya hapo wanatuachia bandari Yetu wao wanasepa. Kwa makubaliano hayo mimi sioni kama kuna tatizo
Hahaàaaa Yale Yale ya kigamboni, tutakuwa watumwa ndani ya nchi yetu, maana watamiliki kila kitu, Serikali haitagusa ardhi ya bandari Hadi jamaa watakapo SEMA tumeshiba, kuanzia walinzi, watoza ushuru, mawasiliano n.k vyote vitakuwa chini ya wachinaHuo ujenzi wa bandari hauna hasara zozote zaidi ya faida. Utaongeza biashara na ajira nyingi.