Kama mnajiuliza ni kwanini kila Mkoa wakienda kucheza Mechi ya Ligi Kuu wanajifanya kutoa Misaada kwa Yatima, Wajane na Wasiojiweza jibu ni hili

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ni sehemu Kuu ya Agano la 'Kishirikina' kutoka kwa Waganga wao wa Kienyeji ( hasa yule wa kutoka Kigamboni aliyekuwa akimpa Dawa ya Mvuto wa Watanzania wote Mstaafu namba Nne wa Pwani na ambaye pia alimsaidia Kushinda Kesi mbaya ya Bandarini aliyekuwa Boss wa huko mwenye Jina la Ukoo lifananalo na Kitoweo cha Baharini ) ili Ushindi upatikane na katika huko huko kutoa Misaada kuna 'Ushirikina' unafanyika kupitia hao Watoto au Wazee.

Timu inajali tu Waganga siyo Wachezaji.
 
Umeshasema KOLO,na ukisema umesema hufuti[emoji847]
 
Mtu anayetafunwa siyo mpaka awe na kikuku mguuni!!
Yaani wewe umejitambulisha kwa style yako. Hongera sana!!
 
Mswalie Mtume GENTA.
Masamaki naye ni shabiki wa Uto?

Utopolo wanajua nyota ishakauka na inazima muda si muda, tegemeo lao kubwa ni mtalaka na sangoma
 
Mswalie Mtume GENTA.
Masamaki naye ni shabiki wa Uto?

Utopolo wanajua nyota ishakauka na inazima muda si muda, tegemeo lao kubwa ni mtalaka na sangoma
Wapi nimetaja jina la Masamaki na wapi nimemsema Yeye ni Shabiki wa Yanga SC? Umeyaelewa vyema Maelezo yangu?
 
Sometimes tunajadili ujinga.

Kuna sheria inakstaza kutoa? Confusing ..
 
Yule tajiri wa IPP (Rest in Peace) alivyokua anandaa chakula cha pamoja kwa wasiojiweza,walemavu na masikini unataka kusema yale yalikua ni maagano?

Kuuliza siyo ujinga...
 
Una matatizo ya akili sio bure ahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…