KichwaBOGA
Member
- Jun 28, 2020
- 15
- 33
Ametuitia kujipima na viwango vya hovyo achana naeWanaume mnaitwa huku na bichwa boga.
Jibu ili ajue ana upupu kiasi gani kichwaniHizi nyuzi zingine hata kureply kama hivi ni kujivunjia heshima.
[emoji124]
ππAmetuitia kujipima na viwango vya hovyo achana nae
ππ Nimecheka sanaHizi nyuzi zingine hata kureply kama hivi ni kujivunjia heshima.
πΆ
ππ
Mtoto wa kishua hawezi kuwa kichwa bogaππ
Naomba umjibu mrembo wetu wa kisomali a.k.a mtoto wa kishua
ππMtoto wa kishua hawezi kuwa kichwa boga
ππππππππ
Huyo wa kishua kutoka buza