Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Siasa za vyama vya upinzani ni zaidi ya Comedy! Siku zote walikuwa wakimtusi Dr Slaa kuwa alinunuliwa, alisaliti chama wakati muhimu na maneno kedekede ya kebehi, lakini mpaka jana mwenyezi Mungu alituonesha unafiki wa upinzani katika siasa zetu! Eti leo wanatuaminisha SUMAYE na LOWASA walitumwa na CCM kuja kuibomoa CHADEMA! Sasa kama mnajua hilo kwann mnaendelea kumkebehi Dr Slaa?
Dr. Slaa alikuwa sahihi kujiengua Chadema kwa ujio wa hawa watu tena afadhali ata wangekuwa wanachama tu kuliko kumpa ugombea urais, mpaka hapa tuamini siasa ni itikadi japo wengine wameigeuza kuwa biashara.
idawa