Vipi mazungumzo yenu na Membe ya kuja kuwasaidia kuitoa ccm mmefikia wapi?Kwani Dr Slaa amehama ccm ?
..Siasa za vyama vya upinzani ni zaidi ya Comedy! Siku zote walikuwa wakimtusi Dr Slaa kuwa alinunuliwa, alisaliti chama wakati muhimu na maneno kedekede ya kebehi, lakini mpaka jana mwenyezi Mungu alituonesha unafiki wa upinzani katika siasa zetu! Eti leo wanatuaminisha SUMAYE na LOWASA walitumwa na CCM kuja kuibomoa CHADEMA! Sasa kama mnajua hilo kwann mnaendelea kumkebehi Dr Slaa?
Dr. Slaa alikuwa sahihi kujiengua Chadema kwa ujio wa hawa watu tena afadhali ata wangekuwa wanachama tu kuliko kumpa ugombea urais, mpaka hapa tuamini siasa ni itikadi japo wengine wameigeuza kuwa biashara.
idawa
Hahahahaaaa! Ila kwa Chadema wanaweza kumuomba agombee.
Atahama endapo Lowasa au Membe au Sumaye Watapewa nafasi ya kugombea Urais 😅😅😅😅Kwani Dr Slaa amehama ccm ?
Dr. Slaa hajawahi kujiunga tena au kurudi CCM alipotoka CDM. Maneno hayo ameniambia mwenyewe kwa kinywa chake October 2019 nilipokutana naye mahali.Kwani Dr Slaa amehama ccm ?
Dr Slaa alisema kwamba kaondoka Chadema kwa vile Chadema wamechukua kinyesi toka chooni (CCM) na kukiweka sebuleni (Chadema). Lakini cha kushangaza yeye huyo huyo akaenda huko chooni, sasa wale aliowakiambia wamerudi tena chooni,swali: jee atawakiambia arudi sebuleni (Chadema)? Mods nimetumia lugha aluyotumia Dr. Slaa kuulezea ujio wa Lowasa Chadema, sioni sababu kufuta post hii. Mbona za wana CCM kutuita sisi nyumbu hamzifuti? Twendeni sawa kwani mjue na Sisi ni binadamu tuna nyongo tukiudhiwa tunaudhika na viongozi wetu wakikashifiwa tunachukia. Mods tendeni haki iacheni post yangu hivi hivi.Siasa za vyama vya upinzani ni zaidi ya Comedy! Siku zote walikuwa wakimtusi Dr Slaa kuwa alinunuliwa, alisaliti chama wakati muhimu na maneno kedekede ya kebehi, lakini mpaka jana mwenyezi Mungu alituonesha unafiki wa upinzani katika siasa zetu! Eti leo wanatuaminisha SUMAYE na LOWASA walitumwa na CCM kuja kuibomoa CHADEMA! Sasa kama mnajua hilo kwann mnaendelea kumkebehi Dr Slaa?
Dr. Slaa alikuwa sahihi kujiengua Chadema kwa ujio wa hawa watu tena afadhali ata wangekuwa wanachama tu kuliko kumpa ugombea urais, mpaka hapa tuamini siasa ni itikadi japo wengine wameigeuza kuwa biashara.
idawa
Walisaidia kupata wabunge wengi na kura milion 6 na ruzuku kuongezekaSiasa za vyama vya upinzani ni zaidi ya Comedy! Siku zote walikuwa wakimtusi Dr Slaa kuwa alinunuliwa, alisaliti chama wakati muhimu na maneno kedekede ya kebehi, lakini mpaka jana mwenyezi Mungu alituonesha unafiki wa upinzani katika siasa zetu! Eti leo wanatuaminisha SUMAYE na LOWASA walitumwa na CCM kuja kuibomoa CHADEMA! Sasa kama mnajua hilo kwann mnaendelea kumkebehi Dr Slaa?
Dr. Slaa alikuwa sahihi kujiengua Chadema kwa ujio wa hawa watu tena afadhali ata wangekuwa wanachama tu kuliko kumpa ugombea urais, mpaka hapa tuamini siasa ni itikadi japo wengine wameigeuza kuwa biashara.
idawa
Post of the yearSiasa za vyama vya upinzani ni zaidi ya Comedy! Siku zote walikuwa wakimtusi Dr Slaa kuwa alinunuliwa, alisaliti chama wakati muhimu na maneno kedekede ya kebehi, lakini mpaka jana mwenyezi Mungu alituonesha unafiki wa upinzani katika siasa zetu! Eti leo wanatuaminisha SUMAYE na LOWASA walitumwa na CCM kuja kuibomoa CHADEMA! Sasa kama mnajua hilo kwann mnaendelea kumkebehi Dr Slaa?
Dr. Slaa alikuwa sahihi kujiengua Chadema kwa ujio wa hawa watu tena afadhali ata wangekuwa wanachama tu kuliko kumpa ugombea urais, mpaka hapa tuamini siasa ni itikadi japo wengine wameigeuza kuwa biashara.
idawa
Atagombea kwa tkt ya chadema
Vaa miwani