Kama mnashindwa kuwafunga Yanga katika uwanja wenu wa Chamazi ndio mtaweza kuwafunga Mkwakwani?

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kufungwa na timu ambayo jumamosi ilikuwa imekesha kushangilia ubingwa wakati nyie mko Tanga mkiendelea na maandalizi ni uj...ha wa hali ya juu, mmechezesha kikosi chenu chote mlichomfunga Simba kule mtwara, wenzenu hawana Mayele halaf bado wanawasumbua, mmecheza utafikiri mko ndondo cup, mmekuwa walaini.

Kally Ongara maneno mengi akijifanya mjeuri na ana uwezo wa kuikabili Yanga kumbe mwepec kabisa.

Hakuna cha Bajana, Akaminko, Dube, Mbombo wala Sopu, muongezeni hata Feitoto bado mngekufa t
 
ngao ya jamii T.F.F iruhusu iundwe kompaini ya timu zote ligi kuu dhidi ya yanga maana hapa timu zitazodolewa sana yanga hafungiki huyu
 
Hivi wakati unachezea kichapo Cha Azam,mfungaji wenu bora alikuwepo?
 
Tulia mkuu na relax
 
Usipoangalia utakufa Kwa presha umufuate wajina wako huko aliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…