Sema chadema na wapinzani wenzao mkuu, maana wananchi wasiokuwa na vyama wengi wana uelewa na wanajua na kuyaona mazuri mengi yanayofanywa na serikali ya CCM.Hata wanannchi wa kawaida wasio na elimu ya kutosha wanajua CCM imejitahidi kwa kadri ya uwezo wake kuwaketea wananchi maendeleo, amani na mshikamano.
Sasa mnataka ionekane imekwama kuleta amani na mshikamano pamoja na maendeleo kisa tu kuna viongozi wenu wamewekwa ndani?
Sasa mnakaa kuvizia ili muone kuna failure kubwa inayofanywa na uongozi wa CCM.
Hii ni upofu wa kisiasa ambao umewakumba. Na mtasubiri sana.
Sasa mnakaa kuvizia ili muone kuna failure kubwa inayofanywa na uongozi wa CCM. Hii ni upofu wa kisiasa ambao umewakumba. Na mtasubiri sana.
Katiba mpya haisaidii kitu. Dawa ni upinzani kuchukua nchi na kutawala na hii hii katiba kwa miaka kumi ili kulipiza kisasi na kuhukumu watu vifungo vya vifo hadi kufa vinavyotekelezwa chini ya wiki baada ya hukumu.Dawa ya CCM kufungasha virago vyao ni KATIBA MPYA TU - na ndiyo maana ukitaja katiba mpya wewe kwao ni Mhaini ama Gaidi.
Daudi kumbe una uwezo wa ku paraphrases, good comment.Mleta mada hebu punguza jazba alafu kunywa maji baridi na utulie kwenye kivuli utosi upoe kidogo.
sawa magembe nimekusoma.Daudi kumbe una uwezo wa ku paraphrases, good comment.
- using different words, to achieve greater clarity. Napenda ufundi wa uandishi mzuri although sikubaliani na muono wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha kuvizia CCM ikosee. Ilishakosea na kujinasa. Tunasubiri mda wa mazishi yake tu. Mda unacheleweshwa na polisi wakishirikiana na tume ya uchaguzi. Sanda na kaburi vyote viko tayari.Hata wanannchi wa kawaida wasio na elimu ya kutosha wanajua CCM imejitahidi kwa kadri ya uwezo wake kuwaketea wananchi maendeleo, amani na mshikamano.
Sasa mnataka ionekane imekwama kuleta amani na mshikamano pamoja na maendeleo kisa tu kuna viongozi wenu wamewekwa ndani?
Sasa mnakaa kuvizia ili muone kuna failure kubwa inayofanywa na uongozi wa CCM.
Hii ni upofu wa kisiasa ambao umewakumba. Na mtasubiri sana.
Lazima CCM ifeHata wanannchi wa kawaida wasio na elimu ya kutosha wanajua CCM imejitahidi kwa kadri ya uwezo wake kuwaketea wananchi maendeleo, amani na mshikamano.
Sasa mnataka ionekane imekwama kuleta amani na mshikamano pamoja na maendeleo kisa tu kuna viongozi wenu wamewekwa ndani?
Sasa mnakaa kuvizia ili muone kuna failure kubwa inayofanywa na uongozi wa CCM.
Hii ni upofu wa kisiasa ambao umewakumba. Na mtasubiri sana.
Ni muweweseko bwana!!!Mleta mada hebu punguza jazba alafu kunywa maji baridi na utulie kwenye kivuli utosi upoe kidogo.