Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Ametutoka huyu mwamba na sauti zinasikika kutoka pande zote za nchi ya kwamba huyu mtu alikuwa hazina ya taifa ni kweli.
Inawezekana alikuwa hazina lakini kwa makusudi mliamua kumpuuza..membe kama kweli hizo sifa mnazompa ndizo basi mliamuaje kumpiga benchi kijana wa kitanzania na mwanadiplomasia mbobezi namna hii?
Kwanini mlimuacha nje ya mfumo wa kiutawala na hali mnakiri kwamba alikuwa hazina kwa taifa? 2015 mlisema hafai kuwa rais na mkatuletea mtu aliyetufanya tuione nchi hii ni mlango wa kuzimu?
Membe CCM ilimtupa kinyama sana japo jakaya alimpigania na hakuweza ..mkamuacha mtu mnaemmwagia sifa zote hizi abaki anapambana na akina msiba mahakamani?
Mmemnyanyasa sana Benard hamstahili kumsifia Bali kumuomba msamaha kwa yote mliyomfanyia huyu comred!