Kama mnayoyasema ni kweli, basi muombeni msamaha marehemu Benard Membe

Kama mnayoyasema ni kweli, basi muombeni msamaha marehemu Benard Membe

Ben Mkapa pia alifanya makubwa sana katika Nchi hii pia. Nadhani baada ya Nyerere ni Ben Mkapa
Nikikubaliana na wewe, 1. Nyerere, 3. Mkapa, 5. Magufuli. Hapo tutegemee 7 ndio atatuokoa tena.

Hawa ndugu zetu wa 2, 4 na 6, anyway ngoja nisiseme chochote.
 
Membe CCM ilimtupa kinyama sana japo jakaya alimpigania na hakuweza ..mkamuacha mtu mnaemmwagia sifa zote hizi abaki anapambana na akina msiba mahakamani?
Bwashee ulitaka waanze kueleza juu ya ufisadi wake kwenye mazishi? Wapi huwa wanafanya hivyo?
 
Membe alikuwa mtu wa kawaida ambaye alifanikiwa kupata vyeo. Kiuwezo he was just normal. Hakuwa na jipya
 
Back
Top Bottom