T The Evil Genius JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 6,017 Reaction score 19,506 May 13, 2023 #21 dingi007 said: Ben Mkapa pia alifanya makubwa sana katika Nchi hii pia. Nadhani baada ya Nyerere ni Ben Mkapa Click to expand... Nikikubaliana na wewe, 1. Nyerere, 3. Mkapa, 5. Magufuli. Hapo tutegemee 7 ndio atatuokoa tena. Hawa ndugu zetu wa 2, 4 na 6, anyway ngoja nisiseme chochote.
dingi007 said: Ben Mkapa pia alifanya makubwa sana katika Nchi hii pia. Nadhani baada ya Nyerere ni Ben Mkapa Click to expand... Nikikubaliana na wewe, 1. Nyerere, 3. Mkapa, 5. Magufuli. Hapo tutegemee 7 ndio atatuokoa tena. Hawa ndugu zetu wa 2, 4 na 6, anyway ngoja nisiseme chochote.
M MWANAKA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2013 Posts 4,887 Reaction score 4,435 May 13, 2023 #22 Dunia Mapito Mwenyezi Mungu ampe pumziko jema Amina
A Akaduga New Member Joined Jul 19, 2021 Posts 2 Reaction score 0 May 14, 2023 #23 Sifa za marehemu uwa ni nzuri sana kuzisikia
Ngungenge JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 2,914 Reaction score 3,386 May 14, 2023 #24 mkorinto said: Mtu kama nape anamkwambia membe alikuwa hazina nawewe unamsikiliza!!!! Click to expand... Bila nape JPM angekuwa Rais Waliompigania JPM wanaonekana takataka
mkorinto said: Mtu kama nape anamkwambia membe alikuwa hazina nawewe unamsikiliza!!!! Click to expand... Bila nape JPM angekuwa Rais Waliompigania JPM wanaonekana takataka
UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 9,454 Reaction score 8,894 May 14, 2023 #25 Mganguzi said: Membe CCM ilimtupa kinyama sana japo jakaya alimpigania na hakuweza ..mkamuacha mtu mnaemmwagia sifa zote hizi abaki anapambana na akina msiba mahakamani? Click to expand... Bwashee ulitaka waanze kueleza juu ya ufisadi wake kwenye mazishi? Wapi huwa wanafanya hivyo?
Mganguzi said: Membe CCM ilimtupa kinyama sana japo jakaya alimpigania na hakuweza ..mkamuacha mtu mnaemmwagia sifa zote hizi abaki anapambana na akina msiba mahakamani? Click to expand... Bwashee ulitaka waanze kueleza juu ya ufisadi wake kwenye mazishi? Wapi huwa wanafanya hivyo?
D dingi007 JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 853 Reaction score 1,330 May 28, 2023 #26 The Evil Genius said: Nikikubaliana na wewe, 1. Nyerere, 3. Mkapa, 5. Magufuli. Hapo tutegemee 7 ndio atatuokoa tena. Hawa ndugu zetu wa 2, 4 na 6, anyway ngoja nisiseme chochote. Click to expand... Kabisa aisee
The Evil Genius said: Nikikubaliana na wewe, 1. Nyerere, 3. Mkapa, 5. Magufuli. Hapo tutegemee 7 ndio atatuokoa tena. Hawa ndugu zetu wa 2, 4 na 6, anyway ngoja nisiseme chochote. Click to expand... Kabisa aisee
Chizi Maarifa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 10,931 Reaction score 24,816 May 28, 2023 #27 Membe alikuwa mtu wa kawaida ambaye alifanikiwa kupata vyeo. Kiuwezo he was just normal. Hakuwa na jipya
Membe alikuwa mtu wa kawaida ambaye alifanikiwa kupata vyeo. Kiuwezo he was just normal. Hakuwa na jipya