Kama Mo kajiuzulu amepata wapi Mamlaka ya kuteua?

Kwani serikali kusema wanachama wabaki na 51 lengo si lilikuwa kuwapa mamlaka ili team isiangukie kwa MTU mmoja
 
Kwani serikali kusema wanachama wabaki na 51 lengo si lilikuwa kuwapa mamlaka ili team isiangukie kwa MTU mmoja
hizo class za share zipo kwenye votings rights wakati wa kufanya maamuzi. ila hazibadilishi umiliki wa timu. anyway nimeongea tu unaweza kuta kibongo bongo hakuna hata hizo class.
 
hizo class za share zipo kwenye votings rights wakati wa kufanya maamuzi. ila hazibadilishi umiliki wa timu. anyway nimeongea tu unaweza kuta kibongo bongo hakuna hata hizo class.
Mkuu wakubalie tu utapungukiwa nini? Utopwinyo wanatuambia tumetapeliwa hatuna akili tumtimue MO ili tukae poa tufanye vizuri kimataifa kama wao, wakubalie tu hawa watu wana sononeko kuu la miaka 4 MO kawafanya vibaya sana wanatamani hata afe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…