Kama moto uligunduliwa na mwanadamu duniani je huko jehanamu/mbinguni ulifikaje?

Attachments

  • Screenshot_20260725-105201~2.jpg
    92.1 KB · Views: 11
Uwe unasoma na kuelewa kwanza acha kukurupuka,wapi nimesema kuna mbingu?mimi natafakari juu ya wafia dini wanaoamini kuna MBINGU ambako wataenda na huko kuna moto utakaowaunguza wenye dhambi,ujiongeze kwa kuufikirisha ubongo wako hakuna atakayekutafunia kila kitu humu,acha kabisa uvivu wa kufikirisha ubongo wako
Wewe nani aliekuambia kuna Mbingu
 
Moto haujaanzia hapa.huko huko mbinguni
Kwahiyo haya maandishi ndiyo yanakufanya utafakari au upo kuleta ulichomezeshwa na kuaminishwa?nimesema tafakari wewe kama wewe ulete hoja yako hapa siyo kuleta ulivyolishwa na warabu kwa masilahi yao kama walivyo wazungu
 
Acha papara nyie ndio mnawmbiwa andika t for true we unaandika true
mtoa mada kasema mbinguni au jehannum na mie nauliza mbinguni ndio wapi yaan yeye nani kamuambia kuna mbinguni
 
Jehenam haipo
Hakika,ndiyo maana hadi leo wazungu waliowalisha wajinga ujinga huo wanasema mabaki ya viumbe baada ya muda mrefu hubadilika kuwa nishati/mafuta na pia hadi leo haohao mabwana zao/wazungu bado wanafanya utafiti wa mambo ya kale kwa kufukua mabaki ya watu wa zamani
 
Acha papara nyie ndio mnawmbiwa andika t for true we unaandika true
mtoa mada kasema mbinguni au jehannum na mie nauliza mbinguni ndio wapi yaan yeye nani kamuambia kuna mbinguni
Ni ngumu kuuelewa huu uzi kwakuwa uwezo wako ni mdogo hakuna niliposema mimi najua mbinguni,jitambue basi!!
 
Tumia muda wako kujenga hoja ya Vitu vitakavyokupa Thamani na kukuza kipato chako

Na kama tayari Una vitu vya Thamani maana yake Una uwezo.

Na kama huo uwezo unao unaweza kutusaidia sisi masikini kwasababu tupo wengi,mamia Kwa makumi

Hizi hoja ulizoandika hazina maana yeyote
 
Habarini,
Tujitafakari,kama moto uligunduliwa hapa duniani na mtu je huko mbinguni nani aliupeleka?
Moto ulikuwepo siku zote, Milima ilikuwa inatoa volcano moto unaunguza vitu, tangu enzi na enzi.
Kuna baadhi ya scinerio mawe yaliporomoka kutoka milimani na kugongana mengine yakatoa cheche na kusababisha moto (effect of friction)
Pamoja na kwamba mimi sio mjuzi wa historia lakini nafikiri kilichopo huko ni kwa binadam kuanza kuutumia moto na sio kugundua moto.....
 
Leta hoja zako zenye maana acha kujifanya unauelewa kuliko jf waliopandisha huu uzi,haya wewe umetumia huo uwezo wako kuwasaidia watu wangapi kuondokana na umasikini?iwapo umekiri mwenyewe kuwa ni masikini basi huna uwezo kwani umeshindwa kuutumia kujiondoa kwenye umasikini wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…