Kama moto uligunduliwa na mwanadamu duniani je huko jehanamu/mbinguni ulifikaje?

Kama moto uligunduliwa na mwanadamu duniani je huko jehanamu/mbinguni ulifikaje?

Una uhakika wa kuiona kesho ?
Jibu kilichoulizwa ,ni wazi huu uzi siyo wako kulingana na uwezo wako mdogo,kila kiumbe kinachopumua kina uhakika wa kuiona kesho ndiyo maana hakiachi kutafuta,jitambue na ufikirishe ubongo wako kwa ujumla siyo nusunusu
 
Mie nimekuuliza wewe, jibu swali, una uhakika wa kuiona kesho ?
 
Moto ulikuwepo siku zote, Milima ilikuwa inatoa volcano moto unaunguza vitu, tangu enzi na enzi.
Milima ilikuwa inaporomoka mawe yagongana mengine yanatoa moto na unaunguza (effect of friction)
kilichopo kwenye historia ni kwa binadam kuanza kuutumia moto na sio kugundua moto.....
Naimani ulisoma kuwa ziwa victoria liligunduliwa,mlima kilimanjaro uligunduliwa,nk je havikuwepo?acha kukurupuka ndiyo maana nimeanza na "TUJITAFAKARI",usipende kuanika ujinga wa uvivu wako wa kutafakari,simu inaundwa na vitu mbalimbali ambavyovilikuwepo tayari je "imegunduliwa" au imeshushwa?
 
Mie nimekuuliza wewe, jibu swali, una uhakika wa kuiona kesho ?
Kama huna hoja ondoka kwenye uzi,nimekujibu bado unaendeleza ujinga,anzisha huo uzi wa swali lako utapata majibu,watu wangekuwa hawana uhakika wa kuiona kesho yao wasingeandaa mipango yao ya badae
 
Kila kitu Cha asili kilichopo Duniani, kilikuepo na kipo Mbinguni, kuanzia Moto, Hewa, Wanyama, Mito, Maji Milima mpaka Binadamu n.k...!

Hata katika Maisha ya kawaida, Kila kinakutokea kilianzia kwenye Ulimwengu wa Roho.
 
Naimani ulisoma kuwa ziwa victoria liligunduliwa,mlima kilimanjaro uligunduliwa,nk je havikuwepo?acha kukurupuka ndiyo maana nimeanza na "TUJITAFAKARI",usipende kuanika ujinga wa uvivu wako wa kutafakari,simu inaundwa na vitu mbalimbali ambavyovilikuwepo tayari je "imegunduliwa" au imeshushwa?
Sioni hoja ya kujadili hapa, sana sana kupotezea watu muda......
 
Kwahiyo haya maandishi ndiyo yanakufanya utafakari au upo kuleta ulichomezeshwa na kuaminishwa?nimesema tafakari wewe kama wewe ulete hoja yako hapa siyo kuleta ulivyolishwa na warabu kwa masilahi yao kama walivyo wazungu
Hayo maandishi unayoyasema unaweza kuandika kama hayo?
 
Kama huna hoja ondoka kwenye uzi,nimekujibu bado unaendeleza ujinga,anzisha huo uzi wa swali lako utapata majibu,watu wangekuwa hawana uhakika wa kuiona kesho yao wasingeandaa mipango yao ya badae
Nimekuuliza wewe, jibu ndio au hapa ( Una uhakika wa kuiona kesho ? )
 
Ni ngumu kuuelewa huu uzi kwakuwa uwezo wako ni mdogo hakuna niliposema mimi najua mbinguni,jitambue basi!!
Sasa unaongea jambo halipo halafu unataka majibu hivi unaa akili wewe kitu hakipo halafu wewe unalizimisha kipo huoni unajipinga mwenyewe
 
Leta hoja zako zenye maana acha kujifanya unauelewa kuliko jf waliopandisha huu uzi,haya wewe umetumia huo uwezo wako kuwasaidia watu wangapi kuondokana na umasikini?iwapo umekiri mwenyewe kuwa ni masikini basi huna uwezo kwani umeshindwa kuutumia kujiondoa kwenye umasikini wako
Mimi masikini nakusubiri tajiri unisaidie
 
Hilo swali alilokuuliza hapo bila kutuliza akili huwezi kumuelewa.

Mwanadamu aligundua moto hapa duniani, ila sio kwamba yeye ndo aliuumba huo moto. By the way, nani alikuwepo wakati mwanadamu wa kwanza anaugundua huo moto?

Zote ni historia, na hesitoria haijaeleza kila kitu kwa ukamilifu wake. Jaribu kupitia Kitabu cha Enoko, sura ya 8

Kuna malaika walishuka toka mbinguni ili kumpatia maarifa mwanadamu. Mwanadamu alifundishwa vitu gani? Mwanadamu aligundua huo moto kwa akili aliyoitolea wapi?
Uwe unasoma na kuelewa kwanza acha kukurupuka,wapi nimesema kuna mbingu?mimi natafakari juu ya wafia dini wanaoamini kuna MBINGU ambako wataenda na huko kuna moto utakaowaunguza wenye dhambi,ujiongeze kwa kuufikirisha ubongo wako hakuna atakayekutafunia kila kitu humu,acha kabisa uvivu wa kufikirisha ubongo wako
 
Za kuambiwa changanya na za kwako... Na juzi tu imegundulika kwamba kuna sukari huko mbinguni...

Cc: Mahondaw
 
Inawezekana ni lugha ya picha tu kuwa huko kuna mateso, sasa wakatolea mfano wa Moto ili iwe rahisi kuelewa maana wangekutajia kitu ambacho hukijui usineweza kujua uzito wake au mfano wa maumivu yake.
 
Back
Top Bottom