HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
- Thread starter
-
- #21
Jibu kilichoulizwa ,ni wazi huu uzi siyo wako kulingana na uwezo wako mdogo,kila kiumbe kinachopumua kina uhakika wa kuiona kesho ndiyo maana hakiachi kutafuta,jitambue na ufikirishe ubongo wako kwa ujumla siyo nusunusuUna uhakika wa kuiona kesho ?
Mie nimekuuliza wewe, jibu swali, una uhakika wa kuiona kesho ?Jibu kilichoulizwa ,ni wazi huu uzi siyo wako kulingana na uwezo wako mdogo,kila kiumbe kinachopumua kina uhakika wa kuiona kesho ndiyo maana hakiachi kutafuta,jitambue na ufikirishe ubongo wako kwa ujumla siyo nusunusu
Naimani ulisoma kuwa ziwa victoria liligunduliwa,mlima kilimanjaro uligunduliwa,nk je havikuwepo?acha kukurupuka ndiyo maana nimeanza na "TUJITAFAKARI",usipende kuanika ujinga wa uvivu wako wa kutafakari,simu inaundwa na vitu mbalimbali ambavyovilikuwepo tayari je "imegunduliwa" au imeshushwa?Moto ulikuwepo siku zote, Milima ilikuwa inatoa volcano moto unaunguza vitu, tangu enzi na enzi.
Milima ilikuwa inaporomoka mawe yagongana mengine yanatoa moto na unaunguza (effect of friction)
kilichopo kwenye historia ni kwa binadam kuanza kuutumia moto na sio kugundua moto.....
Kama huna hoja ondoka kwenye uzi,nimekujibu bado unaendeleza ujinga,anzisha huo uzi wa swali lako utapata majibu,watu wangekuwa hawana uhakika wa kuiona kesho yao wasingeandaa mipango yao ya badaeMie nimekuuliza wewe, jibu swali, una uhakika wa kuiona kesho ?
Sioni hoja ya kujadili hapa, sana sana kupotezea watu muda......Naimani ulisoma kuwa ziwa victoria liligunduliwa,mlima kilimanjaro uligunduliwa,nk je havikuwepo?acha kukurupuka ndiyo maana nimeanza na "TUJITAFAKARI",usipende kuanika ujinga wa uvivu wako wa kutafakari,simu inaundwa na vitu mbalimbali ambavyovilikuwepo tayari je "imegunduliwa" au imeshushwa?
Hayo maandishi unayoyasema unaweza kuandika kama hayo?Kwahiyo haya maandishi ndiyo yanakufanya utafakari au upo kuleta ulichomezeshwa na kuaminishwa?nimesema tafakari wewe kama wewe ulete hoja yako hapa siyo kuleta ulivyolishwa na warabu kwa masilahi yao kama walivyo wazungu
Nimekuuliza wewe, jibu ndio au hapa ( Una uhakika wa kuiona kesho ? )Kama huna hoja ondoka kwenye uzi,nimekujibu bado unaendeleza ujinga,anzisha huo uzi wa swali lako utapata majibu,watu wangekuwa hawana uhakika wa kuiona kesho yao wasingeandaa mipango yao ya badae
Sasa unaongea jambo halipo halafu unataka majibu hivi unaa akili wewe kitu hakipo halafu wewe unalizimisha kipo huoni unajipinga mwenyeweNi ngumu kuuelewa huu uzi kwakuwa uwezo wako ni mdogo hakuna niliposema mimi najua mbinguni,jitambue basi!!
Swali zuriHabarini,
Tujitafakari,kama moto uligunduliwa hapa duniani na mtu je huko mbinguni nani aliupeleka?
Mimi masikini nakusubiri tajiri unisaidieLeta hoja zako zenye maana acha kujifanya unauelewa kuliko jf waliopandisha huu uzi,haya wewe umetumia huo uwezo wako kuwasaidia watu wangapi kuondokana na umasikini?iwapo umekiri mwenyewe kuwa ni masikini basi huna uwezo kwani umeshindwa kuutumia kujiondoa kwenye umasikini wako
Uwe unasoma na kuelewa kwanza acha kukurupuka,wapi nimesema kuna mbingu?mimi natafakari juu ya wafia dini wanaoamini kuna MBINGU ambako wataenda na huko kuna moto utakaowaunguza wenye dhambi,ujiongeze kwa kuufikirisha ubongo wako hakuna atakayekutafunia kila kitu humu,acha kabisa uvivu wa kufikirisha ubongo wako