Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

mzigo huu ushachacha, putin alijua watasalim amri ili aanzishe mazungumzo kwa terms zake ila jamaa hawataki pia kitendo cha china kuabstain UNSC Hakijaleta picha nzuri kwa putin
 
Shirikisha Basi ubongo wako, Vita so Kama kwenda kununua maembe sokoni. RememberMarekani na uingereza combined walitumia mwezi mmoja na zaidi kumuangusha sadamu pale Iraq. Mbona hukuja kusema hapa kuwa marekani na uingereza ni dhaifu.?
 
Kama huna ufahamu na kitu bora ukakaa kimya utaonekana una akili.

Vita sio kitu rahisi kama ww unavyo fikiria.

Marekani alitumia miezi kufika mji mkuu wa Iraq.

Urusi katumia siku 2 kufika mji mkuu wa Ukraine bado tu hujaona nguvu ya Urusi.
CC: Salary Slip
 
marekan akitumia wiki moja kuiteka baghdad,
ukisema ulinganishe hizi vita mbili
zina mazingira yanayotofautiana sana
faida ipo kwa mrusi kwa sababu yeye anapigana na jiran yake ambae ni rahisi kuongeza wanajesh na hata vifaa
pia wakat
marekan alikuwa mbal na nyumban maelfu ya kilometa huko
 
Panahitajika uangalifu Kwa sababu inawezekana wakauwawa Watu wasio na hatia, kwahiyo wanaweza wakauzunguka huo mji lakini kuingia pale ikahitajika hesabu Kali zaidi ili kuepusha maafa na umwagaji wa damu.
Pro Putin mnajua kugeuza maneno,ni nyinyi hapa kabla ya vita haya maangalizo hamkuwa mnayaweka,leo hii watu wako kazini mnaanza kuja na hizi sababu tena.
 
Hii ndio St. Javelin, mtambo unaoangamiza Tanks za Russia na kuleta maafa makubwa then kuwazuia kuingia Kyiv. Made in U.S.
 
Anatumia silaha nyepesi anajua hao ni ndugu zake, akifunguka hapo hapa kaliki.
 
Hadi sasa Russia wanatumia silaha za kawaida sana ukiona kombola linapiga jengo na kutoba chumba tu ujue ni silaha ya kawaida tu. Yaani hata zile za mbagala ni zaidi japo zilinunuliwa Urusi miaka ya 73.

Kuhusu kusaidiwa si tu tutasikia inaeleweka lkn hiyo isiwe sababu

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
kimsingi reaction ya mwaka huu dhidi ya urusi ni kubwa zaidi kuwahi kutokea katika utawala wa putin, tofauti na baadhi ya matukio ambayo baadhi ya watu walikua wanaamin urusi inasingiziwa ila lep jamaa kamvamia nduguye mchana kweupe baada ya kutumia mda mwingi kukanusha kuwa urusi haina mpango wa kuivamia nchi nyingine
wamagharibi mwaka huu wamefanikiwa kuhusisha taasisi km UEFA na pia FIFA wapo under pressure baada ya mataifa kadhaa ya ulaya kukataa kucheza urusi au dhidi ya urusi
mrusi anakabiliana na nchi nyingi na taasisi nyingi kwa wakati mmoja, china atamsapoti kisiasa lkn kibiashara washirika wake wakubwa ni EU na marekan so mwsho wa siku china naye anahitaji kubalance maslahi yake,
 
Wataalam wa infant wanadai nchi yeyote kuingia na kutwaa ardhi ni kazi ngumu sana.
Malengo ya kwenye majimbo yametimia.
Ila lengo la kuiinhia kiev sijaelewa wanataka nini?
Na urahisi ule wa kuingia ilipaswa machake yawacheze.
Anga way wayHudi wanaju wanatupeleka wapi sisi waafrica tushabikie tu kwa jicho la russia na USA .
 
Umeambiwa Neo Nazi wameteka watu kwenye maghorofa Kiev na kwenye maghorofa hayo wameweka Mitambo ya kurusha Maroketi. Ndiyo maana walizuia watu kukimbia mji huo.

Unahitaji utulivu kushugulika na adui anayetumia mbinu za kigaidi.
Kitendo cha kuwapa raia silaha kwa kweli si kizuri, sasa apigwe nani aachwe nani

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
hizo ndio silaha zitumikazo kwe urban warfare hawawez kupigana km wapo jangwani
 
Russia anapigana na majeshi kibao tu huko Ukraine. NATO wameingia wakajichanganya na majeshi ya serikali ya Ukraine. Vinginevyo ingekuwa rahisi tu. si unaona ni kama NATO hawajali, ni kwamba wamevaa combat ya Ukraine
Turkey wameingia na German ni NATO ila wanajifanya ni ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…