nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,355
- 8,149
mzigo huu ushachacha, putin alijua watasalim amri ili aanzishe mazungumzo kwa terms zake ila jamaa hawataki pia kitendo cha china kuabstain UNSC Hakijaleta picha nzuri kwa putinNahisi kabisa kule mpakani Russia alipoingia kirahisi bila upinzani ilikuwa ni strategic ya kumvuta kwenye Graveyard hapo Mji Mkuu Kyiv. Naona plan zote za kivita pamoja na rasimali watu na silaha za Ukraine waliziweka hapo Kyiv maana walishajua lengo la Putin. Sasa Russia anakipata cha moto mpaka anafikia hatua ya kutumia Ballistic Missile.