Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
wakati unakanusha utuelezee alitumia dakika ngapi ama masaa mangapi vinginevyo nawewe utakua muongo ama una mahabaAcha uongo na mahaba usa hajatumia miezi kufika mji mkuu wa iraq punguza mihemko
hasara ipo kwa RUSSIA sababu anaweza kuhatarisha usalama wataifa lake kabisa sababu anapopigania ninyumbani kabisa jamaa anaweza akapiga hata MOSCOW sio kama NATOmarekan akitumia wiki moja kuiteka baghdad,
ukisema ulinganishe hizi vita mbili
zina mazingira yanayotofautiana sana
faida ipo kwa mrusi kwa sababu yeye anapigana na jiran yake ambae ni rahisi kuongeza wanajesh na hata vifaa
pia wakat
marekan alikuwa mbal na nyumban maelfu ya kilometa huko
Kaka,, acha ushabiki kwenye roho za watuHuo ndio ukweli. Kwa mikwara yenu, mpaka muda huu mngekuwa mmeshaiteka Kyiv, ila mpaka sasa mmeshindwa na ni wazi ingekuwa ni nchi kama Ujeruman au France, mngekuwa bado mpkani na hapa ndio najiuliza uwapi uwezo wa nyinyi kupambana na Majeshi ya NATO kama mnavyojisifu.
Mjini urusi hawawezi tumia crest card or debit card mali zote za Putin zimetaifishwa kremlin is hacked wanaimba ukrain songs hackers .So young people are riding up watoto wakijerumani na turkey wamekimbilia hapo hawajali sheria za Nato wala niniUnafuatilia kwa ukaribu mzozo huu kweli?
Habari iliyopo hadi sasa ni kwamba Russia anakiri kupata hasara ya vifaa vya kijeshi kwenye mashambulizi yake.
Amepataje hasara? Mimi na wewe hatujui huenda amerusha makombora mengi lakini ufanisi kiduchu maana hajateka mji hata mmoja kikamilifu maana anakutana na upinzani mkali kutoka kwa jeshi tiifu na raia wa Ukraine kinyume na alivyotarajia.
USA waliongia na kukaa muda mrefu to protectafghanistan from terroristMarekani iliingia Baghdad baada ya miezi mingapi ya mapambano?
Hili dude lilikuwa chini ya ukraini lakini muda huu limetekwa na
Mrusi hajachukua airspace Actualy German turkey wame cancel Russian planesHili dude lilikuwa chini ya ukraini lakini muda huu limetekwa na urusi
View attachment 2131506
kumbuka marekani walitumia siku 21 kumpata sadam, russia hata wiki hajamaliza anapigana mitaani kiev. na jana alipumzika kuangalizia kama jamaa watataka kuongea.Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
sasa walikimbia nn au waliwamaliza hao so called terroristUSA waliongia na kukaa muda mrefu to protectafghanistan from terrorist
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jidanganyee ukahis putin ni fala alivuta subira ili wajee meza ya mazungumzo sasa atawapiga woteStrategy za Putin za 1945 Hao ukraine watoto wadogo new way of fighting hakutegemea wangetoa sigh za miji mitaa ,wakabomoa madaraja
Mkuu vita inapigwa kiakili. Kuna raia pale sio unarusha tu makombora na kupiga hovyo hovyo.Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
Ni mawazo yako.Kumbe wewe Salary Slip ni mweupe sana kwenye hizi medani za kivita. Wewe umeshasikia ukraine wanawatumia raia kama shield, wewe unataka russia afanyaje hapo sasa. Aue tu?
Wewe unaweza zile siasa zenu za ccm na chadema. Huku hamna kitu mkuu.
Mods watakuwa timu ya Ukraine hawaHuu uzi mbona hauchanywi kwenye ule wenye live!? Moderators, majibu.
kwanini wasiweze ? kuna mwaka flani alipiga pini kidogo wazungu wagandekwa wale hawezi,
Panahitajika uangalifu Kwa sababu inawezekana wakauwawa Watu wasio na hatia, kwahiyo wanaweza wakauzunguka huo mji lakini kuingia pale ikahitajika hesabu Kali zaidi ili kuepusha maafa na umwagaji wa damu.
Kuamini pia NATO inaweza kuivamia Russia ni matumizi mabaya ya akili.russia Wana nguvu kushinda NATO ndo maana wamepingwa biti hakuna anayeingipia mpaka Sasa hivi alafu Jana meli za NATO(TURKEY)ilipigwa na hakuna kitu walifanya.