Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

marekan akitumia wiki moja kuiteka baghdad,
ukisema ulinganishe hizi vita mbili
zina mazingira yanayotofautiana sana
faida ipo kwa mrusi kwa sababu yeye anapigana na jiran yake ambae ni rahisi kuongeza wanajesh na hata vifaa
pia wakat
marekan alikuwa mbal na nyumban maelfu ya kilometa huko
hasara ipo kwa RUSSIA sababu anaweza kuhatarisha usalama wataifa lake kabisa sababu anapopigania ninyumbani kabisa jamaa anaweza akapiga hata MOSCOW sio kama NATO
 
Huo ndio ukweli. Kwa mikwara yenu, mpaka muda huu mngekuwa mmeshaiteka Kyiv, ila mpaka sasa mmeshindwa na ni wazi ingekuwa ni nchi kama Ujeruman au France, mngekuwa bado mpkani na hapa ndio najiuliza uwapi uwezo wa nyinyi kupambana na Majeshi ya NATO kama mnavyojisifu.
Kaka,, acha ushabiki kwenye roho za watu
 
Unafuatilia kwa ukaribu mzozo huu kweli?

Habari iliyopo hadi sasa ni kwamba Russia anakiri kupata hasara ya vifaa vya kijeshi kwenye mashambulizi yake.

Amepataje hasara? Mimi na wewe hatujui huenda amerusha makombora mengi lakini ufanisi kiduchu maana hajateka mji hata mmoja kikamilifu maana anakutana na upinzani mkali kutoka kwa jeshi tiifu na raia wa Ukraine kinyume na alivyotarajia.
Mjini urusi hawawezi tumia crest card or debit card mali zote za Putin zimetaifishwa kremlin is hacked wanaimba ukrain songs hackers .So young people are riding up watoto wakijerumani na turkey wamekimbilia hapo hawajali sheria za Nato wala nini
 
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.

Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.

Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.

Ama kweli actions speak louder than words.
kumbuka marekani walitumia siku 21 kumpata sadam, russia hata wiki hajamaliza anapigana mitaani kiev. na jana alipumzika kuangalizia kama jamaa watataka kuongea.
 
Strategy za Putin za 1945 Hao ukraine watoto wadogo new way of fighting hakutegemea wangetoa sigh za miji mitaa ,wakabomoa madaraja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jidanganyee ukahis putin ni fala alivuta subira ili wajee meza ya mazungumzo sasa atawapiga wote
 
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.

Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.

Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.

Ama kweli actions speak louder than words.
Mkuu vita inapigwa kiakili. Kuna raia pale sio unarusha tu makombora na kupiga hovyo hovyo.
 
Unadhani vita ni kama kuchega game la PUGB???

US wenyewe wamechakazwa na wavaa makobazi na vipedo. Wamekaa 20yrs ila wameamua kujiondokea!

Vita sio kama unavyoangalia movie ya Rambo
 
Kumbe wewe Salary Slip ni mweupe sana kwenye hizi medani za kivita. Wewe umeshasikia ukraine wanawatumia raia kama shield, wewe unataka russia afanyaje hapo sasa. Aue tu?

Wewe unaweza zile siasa zenu za ccm na chadema. Huku hamna kitu mkuu.
 
Warusi ni makatili sana wanapigana vita bila uangalifu wanapiga hovyo hovyo tu.
Kwa jinsi wanavyopigana walitakiwa wawe wameshateka magofu ya mji.

Wameonesha udhaifu mkubwa sana.Natamani ningekuwa Ukraine ningeomba silaha nipambane na wapuuzi hao
Panahitajika uangalifu Kwa sababu inawezekana wakauwawa Watu wasio na hatia, kwahiyo wanaweza wakauzunguka huo mji lakini kuingia pale ikahitajika hesabu Kali zaidi ili kuepusha maafa na umwagaji wa damu.
 
Unadhani NATO kuna watu wapumbavu kama wewe?
Unapigana kuonesha wewe ni mbabe?Au unapigania maslahi?
Kuamini pia NATO inaweza kuivamia Russia ni matumizi mabaya ya akili.russia Wana nguvu kushinda NATO ndo maana wamepingwa biti hakuna anayeingipia mpaka Sasa hivi alafu Jana meli za NATO(TURKEY)ilipigwa na hakuna kitu walifanya.
 
FB_IMG_16459128251419531.jpg
 
Back
Top Bottom