kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,981
- 4,857
Lakini wanaume walishamaliza kaziRussia inaomba mazungumzo ila Ukraine kakaza hataki mazungumzo.
Hakuna mazungumzo jinsi vita inaendelea jinsi gharama kwa Russia inaongezeka .Russia ni nchi ya Kimaskini sana anawaharibia uchumi warusi warusi wametoka mbali uchumi ulianza kukua .Russia inaomba mazungumzo ila Ukraine kakaza hataki mazungumzo.
Unajua walevi sana sanaWarusi ni makatili sana wanapigana vita bila uangalifu wanapiga hovyo hovyo tu.
Kwa jinsi wanavyopigana walitakiwa wawe wameshateka magofu ya mji.
Wameonesha udhaifu mkubwa sana.Natamani ningekuwa Ukraine ningeomba silaha nipambane na wapuuzi hao
Beberu kaharibu uchumi wa Africa miaka mingi sana..........itaeleweka nani atatikisikaHakuna mazungumzo jinsi vita inaendelea jinsi gharama kwa Russia inaongezeka .Russia ni nchi ya Kimaskini sana anawaharibia uchumi warusi warusi wametoka mbali uchumi ulianza kukua .
Lakini wanaume walishamaliza kaziView attachment 2132813
NLAWS zimeharibu vifaru kibaoHii ndio St. Javelin, mtambo unaoangamiza Tanks za Russia na kuleta maafa makubwa then kuwazuia kuingia Kyiv. Made in U.S.View attachment 2132361
HCBC tayari kaanza kaza SWIFTkimsingi reaction ya mwaka huu dhidi ya urusi ni kubwa zaidi kuwahi kutokea katika utawala wa putin, tofauti na baadhi ya matukio ambayo baadhi ya watu walikua wanaamin urusi inasingiziwa ila lep jamaa kamvamia nduguye mchana kweupe baada ya kutumia mda mwingi kukanusha kuwa urusi haina mpango wa kuivamia nchi nyingine
wamagharibi mwaka huu wamefanikiwa kuhusisha taasisi km UEFA na pia FIFA wapo under pressure baada ya mataifa kadhaa ya ulaya kukataa kucheza urusi au dhidi ya urusi
mrusi anakabiliana na nchi nyingi na taasisi nyingi kwa wakati mmoja, china atamsapoti kisiasa lkn kibiashara washirika wake wakubwa ni EU na marekan so mwsho wa siku china naye anahitaji kubalance maslahi yake,
Khakiv iko 30Km toka Russia, maana yake lolote laweza tua hukohasara ipo kwa RUSSIA sababu anaweza kuhatarisha usalama wataifa lake kabisa sababu anapopigania ninyumbani kabisa jamaa anaweza akapiga hata MOSCOW sio kama NATO
Sawa chief military analyst from daslamSio mimi tu. Ni wabongo wote uliosema hua wamejaaliwa kujua kila kitu duniani.
Kwa kipi Russia anazidi kuchukua majiji soon mji mkuu utachukuliwa.Ukraine ni mashujaa
Shame on you ..mashujaa wa racism?? Au waafrica ifike muda tuwe na akili eti mashujaaUkraine ni mashujaa
Na umakini was hali ya juuPanahitajika uangalifu Kwa sababu inawezekana wakauwawa Watu wasio na hatia, kwahiyo wanaweza wakauzunguka huo mji lakini kuingia pale ikahitajika hesabu Kali zaidi ili kuepusha maafa na umwagaji wa damu.
Kwanza huko Ukraine hakuna vita serious ndio maana vita siku ya tatu vifo raia hata 500 havijafika hiyo ni just special operations kumpunguza nguvu za kijeshi kama vita serious hiyo Kyiv sasa hivi ingekuwa majivuWarusi mahesabu yao hawajayapiga vizuri, na hajajifunza, jamaa wanakuacha uingie then wanafunga mlango wanaanza maajabu yao, hakika siku ya jana Russia hatoisahau.
Easy talking than doing battle sio silaha, he who have best Lieutenants wins the war.Kwanza huko Ukraine hakuna vita serious ndio maana vita siku ya tatu vifo raia hata 500 havijafika hiyo ni just special operations kumpunguza nguvu za kijeshi kama vita serious hiyo Kyiv sasa hivi ingekuwa majivu
Vita siku ya nne raia wameuliwa 147??? Nchi yenye watu 40m+ hakuna vita hapo ndio maana raia wanajipost eti wanachukua siraha ni kwasababu hawajaona madhara ya vitaEasy talking than doing battle sio silaha, he who have best Lieutenants wins the war.
Wazee wa Blacklivesmatter msha anza ngojeraShame on you ..mashujaa wa racism?? Au waafrica ifike muda tuwe na akili eti mashujaa View attachment 2132908
Vita siku ya nne raia wameuliwa 147??? Nchi yenye watu 40m+ hakuna vita hapo ndio maana raia wanajipost eti wanachukua siraha ni kwasababu hawajaona madhara ya vita
.ndomana m naonaa waacha wauwae hao mana vita za kongo sudani nk hawaombei hata siku moja afu leo eti mtu anaiombea Ukraine sheeenziSarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kama mtumwa kwa maonesho sababu ya makalio makubwaView attachment 2131693
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app