Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Russia inaomba mazungumzo ila Ukraine kakaza hataki mazungumzo.
Lakini wanaume walishamaliza kazi
IMG_20220227_113403.jpg
 
Russia inaomba mazungumzo ila Ukraine kakaza hataki mazungumzo.
Hakuna mazungumzo jinsi vita inaendelea jinsi gharama kwa Russia inaongezeka .Russia ni nchi ya Kimaskini sana anawaharibia uchumi warusi warusi wametoka mbali uchumi ulianza kukua .
 
Warusi ni makatili sana wanapigana vita bila uangalifu wanapiga hovyo hovyo tu.
Kwa jinsi wanavyopigana walitakiwa wawe wameshateka magofu ya mji.

Wameonesha udhaifu mkubwa sana.Natamani ningekuwa Ukraine ningeomba silaha nipambane na wapuuzi hao
Unajua walevi sana sana
 
Hakuna mazungumzo jinsi vita inaendelea jinsi gharama kwa Russia inaongezeka .Russia ni nchi ya Kimaskini sana anawaharibia uchumi warusi warusi wametoka mbali uchumi ulianza kukua .
Beberu kaharibu uchumi wa Africa miaka mingi sana..........itaeleweka nani atatikisika
 
kimsingi reaction ya mwaka huu dhidi ya urusi ni kubwa zaidi kuwahi kutokea katika utawala wa putin, tofauti na baadhi ya matukio ambayo baadhi ya watu walikua wanaamin urusi inasingiziwa ila lep jamaa kamvamia nduguye mchana kweupe baada ya kutumia mda mwingi kukanusha kuwa urusi haina mpango wa kuivamia nchi nyingine
wamagharibi mwaka huu wamefanikiwa kuhusisha taasisi km UEFA na pia FIFA wapo under pressure baada ya mataifa kadhaa ya ulaya kukataa kucheza urusi au dhidi ya urusi
mrusi anakabiliana na nchi nyingi na taasisi nyingi kwa wakati mmoja, china atamsapoti kisiasa lkn kibiashara washirika wake wakubwa ni EU na marekan so mwsho wa siku china naye anahitaji kubalance maslahi yake,
HCBC tayari kaanza kaza SWIFT
 
hasara ipo kwa RUSSIA sababu anaweza kuhatarisha usalama wataifa lake kabisa sababu anapopigania ninyumbani kabisa jamaa anaweza akapiga hata MOSCOW sio kama NATO
Khakiv iko 30Km toka Russia, maana yake lolote laweza tua huko
 
Panahitajika uangalifu Kwa sababu inawezekana wakauwawa Watu wasio na hatia, kwahiyo wanaweza wakauzunguka huo mji lakini kuingia pale ikahitajika hesabu Kali zaidi ili kuepusha maafa na umwagaji wa damu.
Na umakini was hali ya juu
 
Warusi mahesabu yao hawajayapiga vizuri, na hajajifunza, jamaa wanakuacha uingie then wanafunga mlango wanaanza maajabu yao, hakika siku ya jana Russia hatoisahau.
Kwanza huko Ukraine hakuna vita serious ndio maana vita siku ya tatu vifo raia hata 500 havijafika hiyo ni just special operations kumpunguza nguvu za kijeshi kama vita serious hiyo Kyiv sasa hivi ingekuwa majivu
 
Easy talking than doing battle sio silaha, he who have best Lieutenants wins the war.
 
Easy talking than doing battle sio silaha, he who have best Lieutenants wins the war.
Vita siku ya nne raia wameuliwa 147??? Nchi yenye watu 40m+ hakuna vita hapo ndio maana raia wanajipost eti wanachukua siraha ni kwasababu hawajaona madhara ya vita
 
Back
Top Bottom