Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

Putin ni msssssenge sana yule qumer. Na wanaomshabikia ni watoto wadogo wanaokaa kwa wazazi wao. Huwezi ukawa una interest na uchumi halafu ukafurahia vita
Vita yao ww inakuhusu nn sasa?? Ww mtu wa Ukraine?? Au mtu wa urusi??

Unashindwa sikitika na vita vya kongo afrika ya kati na sudani unaleta shobo kwa Ukraine na urusi
 
Kinachonifurahisha Russia anatumia silaha za enzi za Soviet ambazo zingehitaji gharama kubwa kuzifanyia disposal , so hajaingia hasara kutumia new weapons
Uko nyuma ya keypad yako halafu unaelezea mambo ya frontline eti silaha za zamani, punguzeni mbwembwe [emoji23][emoji23]
 
.sisi waafrica tumelogwa sijuii yaanii
Hatujarogwa sema kuna mamtu yana mawazo ya kitumwa afu hayapendi kufatilia vitu kwa undani...yanasoma kichwa cha habari tu yanakuja kutapika Ugoro humu
 
Nani kakwambia Puttin anajali uhai wa watu zaidi ya kushinda vita?
Kati ya urusi na marekani, nani ameshawahi kutumia bomu la nyuklia dhizi ya binadamu? Acha kujitia upofu hakuna kitu kibaya marekani hajakifanya ktk hii dunia,

Hao wakina Putin wanachofanya, marekani alishafanya kitambo. Mashetani wote wanajifundisha mbinu chafu kutoka marekani
 
We tulia wewe hata ingekuwe ni ww usingeweza lazma upunguze speed maana wananchi kwanzia mwanaume kwanzia umri wa miaka 18-80 wameambiwa wajiunge(capitulate) kupambana na majeshi ya Putin na Putin hana mpango waku occupy Ukraine yeye anachotaka Ukraine awe Neutral na daraja wa mipaka yake na nchi za NATO kama vile USA ilivyomfanyia Venezuela alipokuwa anataka kumkubalia mrusi ajenge kambi zake Venezuela ambayo ni uwani karibu na marekani. Huu mziki unaihitaji mahesabu makali yani akijichanganya mtu anapigwa bao(checkmate) na NATO ukiiingia Putin anaaza kucheza na NATO kama jeshi na nchi husika moja moja ndo maana mpaka saivi analysis zinafanyika ya nn kifanyike na sanctions bado hazijamtikisa vizuri Ila labda mpaka baadae na kwasababu ya huduma za swift kwenye ATM zao. Wakati huo huo kumbuka hizo nchi za Europe ndo zinategemea gesi kutoka Russia ina maana mrusi akiamua kufunga koki ya gesi yani Europe lazma ateseke ndo maana kwenye sanctions zote hakuna iliyopigwa juu ya bomba kubwa no.2 na hapo ndipo Putin anawapiga maana pesa inaingia yakutosha kama kawaida na Europe hawana jinsi.
 

Putin kwenye hili linamtokea puani, kushinda vita dhidi ya jeshi ni rahisi, lakini pale unalazimika kupigana na taifa lote, wafungwa, wazee, akina bibi, vijana hapo jiandae kukusanya body bags za watu wako, ndicho kilimkuta Marekani kule Vietnam, vita vya kihivyo ni vigumu sana maana unaingia kupambana na watu kwenye vichochoro vyao, mitaa yao, barabara zao, vijiwe vyao, milima yao, mito yao, mashamba yao ardhi yao, wanahamasishana wadogo kwa wakubwa.

Nimekua nafuatilia mitandao ya Kijamii ambapo Warusi wanachangia, kama vile Quora, wengi wametaharuki hakukaliki kwao huko, maana hawakutegemea Putin atafanya uvamizi wa mpaka ndani, walitegemea mzozo utatatuliwa kisiasa bila umwagikaji wa damu, pia wengi walidhani rais wa Ukraine ataikimbia nchi mwanzo mwanzo, lakini jamaa ameamua kufia ndani, kuna hata rais mstaafu wa Ukraine ameingia kwenye mapambano, wameitana kote kote, vijijini, kila mmoja ameombwa aitete bendera ya nchi yao kabla haijakojolewa.

Putin ajiandae kufanya mauaji ya kimbari kwa watu wa Ukraine, naye majeshi yake yauawe kama nzige, ni hali ambayo imemshtua, kuna hata generali mstaafu wa Urusi amemuandikia barua ya wazi asitishe mapigano maana kitakachotokea kitamshinda.
 

Kama ni hivyo mbona ni rahisi sana. Kama nchi nzima na jeshi lote la nchi limejikusanya kyiv,inachotakiwa hapo ni kuwazunguka na kufunga njia zote za kuingia mjini. Njaa ikiwashika lazima watatoa kichwa tu kama kobe.
 
Mkuu vita inapigwa kiakili. Kuna raia pale sio unarusha tu makombora na kupiga hovyo hovyo.
Mkuu sio kweli,clip tunazoziona wale raia wakirushwa na mabovu na majumba kubomolewa unasemaje ?
 
Hivi Tanzania ilichukua siku ngapi kuiteka Kampala katika vita ya Kagera?
 
Kama ni hivyo mbona ni rahisi sana. Kama nchi nzima na jeshi lote la nchi limejikusanya kyiv,inachotakiwa hapo ni kuwazunguka na kufunga njia zote za kuingia mjini. Njaa ikiwashika lazima watatoa kichwa tu kama kobe.

Huko unakowazunguka ni wapi, mbona unaongea vitu vya movie, huu hapa ni uhalsia sio movie, hebu waza wavamizi wa nchi jirani kuja kuizunguka Dar kwa nia ya kupambana na Watanzania, sio kupambana dhidi ya JWTZ, ila Watanzania, vijana, wazee, akina bibi, watu wote wanaoijua nchi yao, hiyo Dar unaanza kuizunguka kuanzia wapi, Kibaha??? Mlandizi?? kumbuka uko ugenini unatakwa upigane na hao kwenye mitaa yao, vijiwe vyao, vitongoji vyao....ukimbizane nao Mbagalla, mara Buza, Tandale...mitaa ambayo wao hata wakifumba macho usiku wanajua vichochoro vyote...mbona wavamizi watakufa wengi sana.

Vita vya baina ya wanajeshi sawa, lakini sio pale unalazamika kupambana na wananchi, tena wananchi ambao hawakutaki kwenye muungano unaotaka kulazimisha, watu watajitoa mhanga na mauaji yatakua ya kimbari....Putin kwenye hili linamchanganya maana hawezi kugeuza na pia kuingia ndani imekua mtihani. Hata Mchina aliyekua anamtia mzuka ameshapiga kimya.

Picha kama hii hapa chini zimeanza kusambazwa kwenye mitandao, viijana wakiona hivi wanaingiwa na mzuka na mihemko maana haiwaingii akilini kuikimbia nchi waache akina bibi zao ndio waipiganie...

 
Hivi Tanzania ilichukua siku ngapi kuiteka Kampala katika vita ya Kagera?

Vita vya Kagera vilikua tofauti sana usilinganishe, kumbuka Waganda walikua wamemchoka Idd Amin, walikubali nchi yao ikojolewe na majesh ya jirani, pia wanajeshi wa Id Amin walikua wezi na wabakaji na hawakua na uzalendo, na kumbuka kulikua na wapiganaji maelfu wa Museveni, Tito na wengine.
Lakini huu mziki ni tofauti, Putin anataka kuikojolea nchi ambayo wananchi ni wazlendo wa nchi yao ili kulazimisha muungano ambao hawautaki.
 
Mkuu sijaringanisha bali nimeuliza tu ili nipate kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…