pulundu
Member
- Apr 11, 2021
- 17
- 17
Very excellentKinachonifurahisha Russia anatumia silaha za enzi za Soviet ambazo zingehitaji gharama kubwa kuzifanyia disposal , so hajaingia hasara kutumia new weapons
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very excellentKinachonifurahisha Russia anatumia silaha za enzi za Soviet ambazo zingehitaji gharama kubwa kuzifanyia disposal , so hajaingia hasara kutumia new weapons
Vita yao ww inakuhusu nn sasa?? Ww mtu wa Ukraine?? Au mtu wa urusi??Putin ni msssssenge sana yule qumer. Na wanaomshabikia ni watoto wadogo wanaokaa kwa wazazi wao. Huwezi ukawa una interest na uchumi halafu ukafurahia vita
Kanichekesha sana huyo jamaa, kamwaga pumba balaaEmpty head
Hawa wajinga kweli, vifaa vingine ni bora uvichukue uweze tumia.
Uko nyuma ya keypad yako halafu unaelezea mambo ya frontline eti silaha za zamani, punguzeni mbwembwe [emoji23][emoji23]Kinachonifurahisha Russia anatumia silaha za enzi za Soviet ambazo zingehitaji gharama kubwa kuzifanyia disposal , so hajaingia hasara kutumia new weapons
Hii ni sawa na kanzu tobo uwanjani kutia amsha amsha na kuwapa msongo wa mawazo.Hawa wajinga kweli, vifaa vingine ni bora uvichukue uweze tumia.
.sisi waafrica tumelogwa sijuii yaaniiShame on you ..mashujaa wa racism?? Au waafrica ifike muda tuwe na akili eti mashujaa View attachment 2132908
Hatujarogwa sema kuna mamtu yana mawazo ya kitumwa afu hayapendi kufatilia vitu kwa undani...yanasoma kichwa cha habari tu yanakuja kutapika Ugoro humu.sisi waafrica tumelogwa sijuii yaanii
Kati ya urusi na marekani, nani ameshawahi kutumia bomu la nyuklia dhizi ya binadamu? Acha kujitia upofu hakuna kitu kibaya marekani hajakifanya ktk hii dunia,Nani kakwambia Puttin anajali uhai wa watu zaidi ya kushinda vita?
We tulia wewe hata ingekuwe ni ww usingeweza lazma upunguze speed maana wananchi kwanzia mwanaume kwanzia umri wa miaka 18-80 wameambiwa wajiunge(capitulate) kupambana na majeshi ya Putin na Putin hana mpango waku occupy Ukraine yeye anachotaka Ukraine awe Neutral na daraja wa mipaka yake na nchi za NATO kama vile USA ilivyomfanyia Venezuela alipokuwa anataka kumkubalia mrusi ajenge kambi zake Venezuela ambayo ni uwani karibu na marekani. Huu mziki unaihitaji mahesabu makali yani akijichanganya mtu anapigwa bao(checkmate) na NATO ukiiingia Putin anaaza kucheza na NATO kama jeshi na nchi husika moja moja ndo maana mpaka saivi analysis zinafanyika ya nn kifanyike na sanctions bado hazijamtikisa vizuri Ila labda mpaka baadae na kwasababu ya huduma za swift kwenye ATM zao. Wakati huo huo kumbuka hizo nchi za Europe ndo zinategemea gesi kutoka Russia ina maana mrusi akiamua kufunga koki ya gesi yani Europe lazma ateseke ndo maana kwenye sanctions zote hakuna iliyopigwa juu ya bomba kubwa no.2 na hapo ndipo Putin anawapiga maana pesa inaingia yakutosha kama kawaida na Europe hawana jinsi.Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
We tulia wewe hata ingekuwe ni ww usingeweza lazma upunguze speed maana wananchi kwanzia mwanaume kwanzia umri wa miaka 18-80 wameambiwa wajiunge(capitulate) kupambana na majeshi ya Putin na Putin hana mpango waku occupy Ukraine yeye anachotaka Ukraine awe Neutral na daraja wa mipaka yake na nchi za NATO kama vile USA ilivyomfanyia Venezuela alipokuwa anataka kumkubalia mrusi ajenge kambi zake Venezuela ambayo ni uwani karibu na marekani. Huu mziki unaihitaji mahesabu makali yani akijichanganya mtu anapigwa bao(checkmate) na NATO ukiiingia Putin anaaza kucheza na NATO kama jeshi na nchi husika moja moja ndo maana mpaka saivi analysis zinafanyika ya nn kifanyike na sanctions bado hazijamtikisa vizuri Ila labda mpaka baadae na kwasababu ya huduma za swift kwenye ATM zao. Wakati huo huo kumbuka hizo nchi za Europe ndo zinategemea gesi kutoka Russia ina maana mrusi akiamua kufunga koki ya gesi yani Europe lazma ateseke ndo maana kwenye sanctions zote hakuna iliyopigwa juu ya bomba kubwa no.2 na hapo ndipo Putin anawapiga maana pesa inaingia yakutosha kama kawaida na Europe hawana jinsi.
ah nmesema hawez kwa chinakwanini wasiweze ? kuna mwaka flani alipiga pini kidogo wazungu wagande
China na Russia lao moja..ah nmesema hawez kwa china
Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
Kama ni hivyo mbona ni rahisi sana. Kama nchi nzima na jeshi lote la nchi limejikusanya kyiv,inachotakiwa hapo ni kuwazunguka na kufunga njia zote za kuingia mjini. Njaa ikiwashika lazima watatoa kichwa tu kama kobe.Putin kwenye hili linamtokea puani, kushinda vita dhidi ya jeshi ni rahisi, lakini pale unalazimika kupigana na taifa lote, wafungwa, wazee, akina bibi, vijana hapo jiandae kukusanya body bags za watu wako, ndicho kilimkuta Marekani kule Vietnam, vita vya kihivyo ni vigumu sana maana unaingia kupambana na watu kwenye vichochoro vyao, mitaa yao, barabara zao, vijiwe vyao, milima yao, mito yao, mashamba yao ardhi yao, wanahamasishana wadogo kwa wakubwa.
Nimekua nafuatilia mitandao ya Kijamii ambapo Warusi wanachangia, kama vile Quora, wengi wametaharuki hakukaliki kwao huko, maana hawakutegemea Putin atafanya uvamizi wa mpaka ndani, walitegemea mzozo utatatuliwa kisiasa bila umwagikaji wa damu, pia wengi walidhani rais wa Ukraine ataikimbia nchi mwanzo mwanzo, lakini jamaa ameamua kufia ndani, kuna hata rais mstaafu wa Ukraine ameingia kwenye mapambano, wameitana kote kote, vijijini, kila mmoja ameombwa aitete bendera ya nchi yao kabla haijakojolewa.
Putin ajiandae kufanya mauaji ya kimbari kwa watu wa Ukraine, naye majeshi yake yauawe kama nzige, ni hali ambayo imemshtua, kuna hata generali mstaafu wa Urusi amemuandikia barua ya wazi asitishe mapigano maana kitakachotokea kitamshinda.
Mkuu sio kweli,clip tunazoziona wale raia wakirushwa na mabovu na majumba kubomolewa unasemaje ?Mkuu vita inapigwa kiakili. Kuna raia pale sio unarusha tu makombora na kupiga hovyo hovyo.
Hivi Tanzania ilichukua siku ngapi kuiteka Kampala katika vita ya Kagera?Kama mpaka sasa Jeshi la Ukraine limeweza kuwapa upinzani wa kiwango hiki, ni wazi Jeshi la Russia sio strong kama linavyoelezewa na ni wazi lisingeweza kuhimili majeshi ya NATO kama tu Jeshi la Ukraine linawatoa jasho mpaka muda huu.
Kwa sifa tunazosikia kuhusu Jeshi la Russia, nilitarajia mpaka muda huu mji mkuu wa Ukraine uwe chini ya Majeshi ya Russia lakini mpaka sasa bado.
Soon tutaanza kusikia madai kuwa Jeshi la Ukraine linapata support kutoka kwa wamarekani na washiriki wake.
Ama kweli actions speak louder than words.
Kama ni hivyo mbona ni rahisi sana. Kama nchi nzima na jeshi lote la nchi limejikusanya kyiv,inachotakiwa hapo ni kuwazunguka na kufunga njia zote za kuingia mjini. Njaa ikiwashika lazima watatoa kichwa tu kama kobe.
Hivi Tanzania ilichukua siku ngapi kuiteka Kampala katika vita ya Kagera?
Vita vya Kagera vilikua tofauti sana usilinganishe, kumbuka Waganda walikua wamemchoka Idd Amin, walikubali nchi yao ikojolewe na majesh ya jirani, pia wanajeshi wa Id Amin walikua wezi na wabakaji na hawakua na uzalendo, na kumbuka kulikua na wapiganaji maelfu wa Museveni, Tito na wengine.
Lakini huu mziki ni tofauti, Putin anataka kuikojolea nchi ambayo wananchi ni wazlendo wa nchi yao ili kulazimisha muungano ambao hawautaki.